Photo shoot ya namna hii ni sawa kimaadili?

Je uliye ipandisha unaona ina maadili?
 
Kwani single Maza na picha vinahusiana kivip?

Wangapi wapo kwenye ndoa wanatoa picha za uchi ni single parents?

Pumzisheni mama wa watu na waheshimiwe sana, kama kukaa uchi hata mama wa yeyote alikaa uchi ukapatikana,
 
Tulizaliwa uchi na uchi tunatakiwa tuishi

Makampuni ya nguo yalikuja kama means ya watu kupata pesa🀣🀣🀣
 
mkuu una stori za vijiweni sana, hizi tulidanganywa kitambo iyo et mzungu bora akuoneshe mbunye ila sio matiti
Sisi wengine tumeishi na hao wazungu huko Ulaya si kwamba tunasema ya vijiweni mkuu.
 
Huyu lazima atakuwa ni single mother. Tabia zao huwa ni za umalaya na kupenda kupewa attention kupitia umalaya hawanaga jipya.
 
Kwani kuna tatizo gani kumnyonyesha mtoto mbona zile picha za kuacha mapaja nje hamsemi? Kwa waafrika ni sawa tu kuona matiti ila kwa wazungu ni issue.
Kwahiyo ulichoona hapo ni mtoto ana nyonya basi si ndio?
 
Hakuna mke wa mtu anawezapiga picha ya hivi. Huyu ni malaya tu anafanya ujasiriamali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…