Photo shoot ya namna hii ni sawa kimaadili?

Madamu mzuri na wewe unasema hivi🤣🤣🤣🤣🤣 kweli dunia imeharibika pakubwa.
Sasa jee. Raha ya mwanamke ni kujihifadhi ili mwanamme atamani kujua umeficha nini, na ukimfunulia paja tu adise. Sasa kumbe mnaona mpk wekundu na still mtarimbo umelala doro huoni kama nguvu za kiume zishapotea hapo! Halafu mnaanza kuhangaika kuzitafuta 😝
 
Huyu siyo mke,ni single mother
 
Madam umenigusa sana assee,mimi na addiction na mapaja na miguu mizuri sura hata mbuzi anayo aseee
 
Kuna wanawake wanavaa Abaya na bado tunaona namba nane ilivyojichora alooo!

Nawatetea hawa mabroo sio kama nguvu zimeisha ni vile wamezoea kuona hayo kwa hiyo hawapeleki hisia zao huko tena unless akitaka
 
Mno
 
Kwake yeye iko sawa ndio maana kamfuraisha mpiga picha
 
Kuna wanawake wanavaa Abaya na bado tunaona namba nane ilivyojichora alooo!

Nawatetea hawa mabroo sio kama nguvu zimeisha ni vile wamezoea kuona hayo kwa hiyo hawapeleki hisia zao huko tena unless akitaka
Hao pia wanakosea. Ingawa hawawi sawa na wanaoonesha matiti, vitovu na mapaja.
Ndio ivo hamu zinawapotea, wanaona kawaida tu, wachuchu zao wanawaona kama dada zao. Wengine wakijikaza kdg ndio wanaenda kupiga punyetooo...bhaassiii....nguvu zinapotea.

We huoni mada humu kwani wanaume wanahangaika kutafuta mikuyati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…