Photographers' Corner

Every one is a Moon, and has a dark side which (s)he never shows to anybody." - Mark Twain



Exposure 0.004 sec (1/250)
Aperture f/5.0
Focal Length 70.8 mm
ISO Speed 64
Exposure Bias 0 EV
Exposure Program Program AE
Max Aperture Value 2.8
 
Mkuu,
Naomba kama ukipata nafasi, tuwekee picha za tatoos, especially za watu wa Dar.
Kuna kina dada huku Lou niliwaonyesha baadhi ya pics from It's Dar....they really really liked'em.
If possible I would like to show them Henna tatoos, I remember seeing that body art when I was a kid....hope you can share some with us.
Peace brah!!....keep doing what u doing!
 
a journey to Kilindi via Kiteto

Barabara za huku zipo hivi.Hii ni kiteto mjin(KIBAYA)wilaya bado ipo nyuma kimaendeleo,hapa ndo stendi,ukiacha ofsi za serikali,hakuna kingine
Safari ikaendelea

Barabara ya huko ipo hivyo,inakatisha tamaa,maana unaweza kuona umbali uliobaki,cha ajabu kutoka Kibaya hadi kijiji kingine ni kilomita 70.So tatizo la kiufundi likikupata katikat hapo,ni tatizo maana hakuna msaada,Matatizo ya maji ni mambo ya kawaida huku
HATIMAYE BAADA YA MASAA KADHAA,HII NDIO KILINDI,NAAMINI SI WOTE WANAOIFAHAMU,SO YOU CAN GET A PICTURE OF IT

MJI WA KILINDI UPO HIVYO,MABONDE NA MIINUKO,KUTOKA HAPOA HADI HANDENI NI ALMOST MASAA 4,WAKAZI WA HAPA WANAJISHULISHA NA MAMBO MENGI LIKIWEMO UUZAJI WA TUMBAKU KAMA HAO HAPO
 
wapi? wengine hatuko dar mkuu
Sidhani kama ni Dar hapo sababu kunaonekana kama kuna fly over na wapita njia Dar bado sana kitu hicho zaidi ya daraja la manzese na madaraja ya Treni tu
 

No probs sir. Let me start collecting them. Soon they will be up.

Thank you very much for your support. Really appreciate it.
 
Nairobi at night.


NB: Mpiga picha hii simjui ila ningependa sana kumjua.



 
Sidhani kama ni Dar hapo sababu kunaonekana kama kuna fly over na wapita njia Dar bado sana kitu hicho zaidi ya daraja la manzese na madaraja ya Treni tu

ni Dar mkuu, maeneo ya akiba, picha imepigwa kutoka elia complex facing CBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…