Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,















Sidhani kama ni Dar hapo sababu kunaonekana kama kuna fly over na wapita njia Dar bado sana kitu hicho zaidi ya daraja la manzese na madaraja ya Treni tuwapi? wengine hatuko dar mkuu
mimi hii ndiyo picha yangu ya mwaka ukizingatia na vibweka vyake basi naburudika kweli!!!!!mimi hii chini ndio pic yangu bora kabisa kwa muda wa takribani miezi 8 mfululizo
![]()
Mkuu,
Naomba kama ukipata nafasi, tuwekee picha za tatoos, especially za watu wa Dar.
Kuna kina dada huku Lou niliwaonyesha baadhi ya pics from It's Dar....they really really liked'em.
If possible I would like to show them Henna tatoos, I remember seeing that body art when I was a kid....hope you can share some with us.
Peace brah!!....keep doing what u doing!
Sidhani kama ni Dar hapo sababu kunaonekana kama kuna fly over na wapita njia Dar bado sana kitu hicho zaidi ya daraja la manzese na madaraja ya Treni tu
nairobi at night.
![]()
nb: Mpiga picha hii simjui ila ningependa sana kumjua.