Photos: Diamond ndio mtanzania pekee aliye alikwa na p-square kushuhudia arusi ya peter okeyo

Photos: Diamond ndio mtanzania pekee aliye alikwa na p-square kushuhudia arusi ya peter okeyo

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Akiwa na Mwanamuzi Iyana[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Akiwa na Adebayo wa Man City[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kadi ya mwaliko wa harusi iko wapi?inawezekana wamekutana kwenye mall tu..
 
Yale yale siku ya tatu wanamfanya zindiko .......... siyo maneno yangu; mi napita njia tu.
 
Hakualikwa acheni kudanganya watu,watu wa JF bana,why msiweke vitu ambavyo vipo straight,

Also huyo ni Adebayor wa Tottenham

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
nilijua desert kumbe mon ey stuna haya tumesikia
 
namkubali sana diamond mnooooo!
ila kuna vitu lazima atafute wataalam wa hizo sekta wamsaidie!
LAZIMA!!
hebu angalia wenzio ambao nao ni wasaniiii(kumbuk hilo manake kuna watu mtakuja mishipa ya shingo imewatoka hapa kubishia hili)
walivyovaaa halafu muone yeye na kasuruali kake ka mata.koni!
ankera miimi!
 
Nilidhani ni mimi tu nimeliona hili........kale ka suruali jamani

sijui ndo style za siku hizi......kako juu juu..haikuwa nzuri kwa kweli
 
Nilidhani ni mimi tu nimeliona hili........kale ka suruali jamani

sijui ndo style za siku hizi......kako juu juu..haikuwa nzuri kwa kweli
yani hajui maana ya dress codes?
hiyo suruali angekuwa yupo fiesta au natupia zile picha zake fb wee and good lakini k harusiniiiiiini?tena harusi ya kimila?
hiv hakujiona kuwa yupo tofauti?
lakini ni hii ni shida ya mstar wengi hapa TZ!
kwao kila nguo inaweza kuvaliwa popote kisa tu yeye ni msanii!
wakienda kwnye futuru wanaacha maziwa wazi!
mradi tu kila mahali ni kero tuu!
aargh!
 
Nilidhani ni mimi tu nimeliona hili........kale ka suruali jamani

sijui ndo style za siku hizi......kako juu juu..haikuwa nzuri kwa kweli

iyo suruali kamgeza Wema anayo kama iyo!! alafu huyu diamond anatabasamu au anatanua mdomo???
 
iyo suruali kamgeza Wema anayo kama iyo!! alafu huyu diamond anatabasamu au anatanua mdomo???

ahahaaaa nimekumbuka sasa.kwenye pic fulan hivi nilishamuonaga......umenifanya nipande juu

kuangalia tabasam nimeishia kucheka tu
 
Nina wasiwasi na Warumi,Stunna na Heaven on desert. Nadhani ni mtu mmoja. Mienendo yao mmmhhhhhhh....................
 
ahahaaaa nimekumbuka sasa.kwenye pic fulan hivi nilishamuonaga......umenifanya nipande juu

kuangalia tabasam nimeishia kucheka tu

ila inavyoonesha diamond hakuwa na ratiba yoyote ya harusi ila kuna mtu alikuwa na kadi ya double na hana wa kwemda nae na akamzoazoa kaka!! lakini diamond si yuko na mihela mingi alishindwa kwenda kununua nguo za kufanania na wenzake!! izo utafikili anaenda kufanya kazi ya mc kwenye kigodoro mwananyamala
 
kadi ya mwaliko wa harusi iko wapi?inawezekana wamekutana kwenye mall tu..

IMG-20131118-WA0005.jpg
diamond akionyesha special card ya kuingilia kwenye harusi,walipewa waalikwa pekee
uliza kingine we hater....
 
Back
Top Bottom