PHOTOS: Peter And Paul Okoye Acquire Two More New Homes In Atlanta, Georgia, USA.

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
The superstar duo just purchased two new houses in Atlanta USA. Peter Okoye shared the pics of the amazing interior.








 
Ooh eti flati wamemepanga mara ooh apartment ww juilize unanyumba ulio nunua mwenyewe japoru moja

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Wambieeeee maana watu upenda kuponda bila ata kuwapongeza.kuna watu uponda pale wenzao wanapopata mafanikio
 
Peter na Paul Okoyewa kundi la P-Square wanazidi kuwekeza kwa kununua mijengo ya kifahari nchiniMarekani. Baada ya mwaka jana kununua nyumba huko San Francisco, mapacha haosasa wamenunua nyumba mbili za kifahari kwenye mjini wa Buckhead uliopo jijini Atlanda,Georgia nchini Marekani




Peterameshare picha za nyumba hizo kwenye Instagram ambapo kwenye picha mojaameandika: Bought ourselves two new homes in Atlanta GA. Thank u Lord."
Hizini picha zingine.








`wachace wanaishi wengi tunaescort`-ngwair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…