PHOTOS: Peter And Paul Okoye Acquire Two More New Homes In Atlanta, Georgia, USA.

PHOTOS: Peter And Paul Okoye Acquire Two More New Homes In Atlanta, Georgia, USA.

eti " wachahce wanaishi wengi tunaescort" huo ujumbe jiambie mwenyewe, kam umekata tamaa na maisha shauri yako, sie tunajituma na mafaniko yanakuja tu hata kama taratibu, HASINDIKIZWI MTU HAPA!!

kweli naona hasindikizwi mtu
kibella24
avatar95999_3.gif
 
Time will not tell,we are really escorting the few samples
 
hawa jamaa wako another world,lakini hapa nadhani katika elfu 30 yangu ya show leaders pale zimechangia jamaa kununua mjengo AT city USA
hata yangu pia ilichangia ilikuwa 35k mkuu sio 30.
 
h ha h ahaa, yaa ndugu, haya maisha ukiamua kuwa msindikizaji tayari ushajimaliza!! tutakomaaa mpka mwisho maadamu tuwazima wa afya!
watu naona mmepancik sana na hiyo ishu ya wachache wanaishi wengi tunaescort` ok ngoja nigeuze wengi tunaishi wachache wanatuescort ili mridhike ,na wote tupo levo sawa na akina psquare na wengineo by the way i was just quoting legendary mangwair verse.hata hivyo kwa kunukuu hivyo haimaniishi kwamba ndio tumegive hustling still continues.....
 
Back
Top Bottom