PHOTOS: Peter And Paul Okoye Acquire Two More New Homes In Atlanta, Georgia, USA.

PHOTOS: Peter And Paul Okoye Acquire Two More New Homes In Atlanta, Georgia, USA.

hawa jamaa wako another world,lakini hapa nadhani katika elfu 30 yangu ya show leaders pale zimechangia jamaa kununua mjengo AT city USA
 
eti " wachahce wanaishi wengi tunaescort" huo ujumbe jiambie mwenyewe, kam umekata tamaa na maisha shauri yako, sie tunajituma na mafaniko yanakuja tu hata kama taratibu, HASINDIKIZWI MTU HAPA!!
 
Peter na Paul Okoyewa kundi la P-Square wanazidi kuwekeza kwa kununua mijengo ya kifahari nchiniMarekani. Baada ya mwaka jana kununua nyumba huko San Francisco, mapacha haosasa wamenunua nyumba mbili za kifahari kwenye mjini wa Buckhead uliopo jijini Atlanda,Georgia nchini Marekani

View attachment 133563

View attachment 133564
Peterameshare picha za nyumba hizo kwenye Instagram ambapo kwenye picha mojaameandika: Bought ourselves two new homes in Atlanta GA. Thank u Lord.”
Hizini picha zingine.
View attachment 133565
View attachment 133566
View attachment 133567
View attachment 133568View attachment 133569

View attachment 133570
View attachment 133571

ujumbe wa leo:`wachace wanaishi wengi tunaescort`-ngwair

Tunaomba link ya hii habari tafadhari.

By the way mimi sisindikizi na wala sitafuti maisha bali naishi.
 
eti " wachahce wanaishi wengi tunaescort" huo ujumbe jiambie mwenyewe, kam umekata tamaa na maisha shauri yako, sie tunajituma na mafaniko yanakuja tu hata kama taratibu, HASINDIKIZWI MTU HAPA!!

Ukijituma na wewe utaishi tu, ukikata tamaa utaescort kweli. Jiulize hao kabla ya kuanza kuimba walikuwa wapi? Je wamesoma chuo kikuu gani na wanashahada ngapi?
 
Hongera zao, ila inaonekana kama ni apartment katika jengo fulani

Kama ikipatikana picha inayoonyesha nje ya jengo itakuwa poa
 
Haaa haaa haaaa!!! kaka zangu wanajitahidi sana... juz tu waliniita nikawe shahidi... kiukweli ni nyumba nzuri sana.
 
iwe music,iwe unga,iwe ujenzi huru hongera kwao,sio ngono na pombe.
 
Hongera zao, ila inaonekana kama ni apartment katika jengo fulani

Kama ikipatikana picha inayoonyesha nje ya jengo itakuwa poa

Nami nimeona hivyo. Hata hivyo tuwape hongera tu
 
hongera kwao.

mie sisindikizi... nina furaha hivi nilivyo na familia yangu hapa Kiraracha kwa raha zetu.
 
Back
Top Bottom