Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peter na Paul Okoyewa kundi la P-Square wanazidi kuwekeza kwa kununua mijengo ya kifahari nchiniMarekani. Baada ya mwaka jana kununua nyumba huko San Francisco, mapacha haosasa wamenunua nyumba mbili za kifahari kwenye mjini wa Buckhead uliopo jijini Atlanda,Georgia nchini Marekani
View attachment 133563
View attachment 133564
Peterameshare picha za nyumba hizo kwenye Instagram ambapo kwenye picha mojaameandika: Bought ourselves two new homes in Atlanta GA. Thank u Lord.
Hizini picha zingine.
View attachment 133565
View attachment 133566
View attachment 133567
View attachment 133568View attachment 133569
View attachment 133570
View attachment 133571
ujumbe wa leo:`wachace wanaishi wengi tunaescort`-ngwair
eti " wachahce wanaishi wengi tunaescort" huo ujumbe jiambie mwenyewe, kam umekata tamaa na maisha shauri yako, sie tunajituma na mafaniko yanakuja tu hata kama taratibu, HASINDIKIZWI MTU HAPA!!
PSquare buys 2 homes in Atlanta Georgia - Vanguard NewsTunaomba link ya hii habari tafadhari.
By the way mimi sisindikizi na wala sitafuti maisha bali naishi.
Diamond nae ajitahid anunue hata Dubai
Diamond nae ajitahid anunue hata Dubai
wabongo kila kitu mnakiweka katika freemason mode kweli kwa style hii hatutofika kokote.Freemassons at work
Nimeshaandalia na kureserve jengo jijini Dubai NAKHEEL Beach Resort.... Basia lete hiyo cheki ya malipo!!Diamond nae ajitahid anunue hata Dubai
Hongera zao, ila inaonekana kama ni apartment katika jengo fulani
Kama ikipatikana picha inayoonyesha nje ya jengo itakuwa poa