h ha h ahaa, yaa ndugu, haya maisha ukiamua kuwa msindikizaji tayari ushajimaliza!! tutakomaaa mpka mwisho maadamu tuwazima wa afya!
hata yangu pia ilichangia ilikuwa 35k mkuu sio 30.hawa jamaa wako another world,lakini hapa nadhani katika elfu 30 yangu ya show leaders pale zimechangia jamaa kununua mjengo AT city USA
watu naona mmepancik sana na hiyo ishu ya wachache wanaishi wengi tunaescort` ok ngoja nigeuze wengi tunaishi wachache wanatuescort ili mridhike ,na wote tupo levo sawa na akina psquare na wengineo by the way i was just quoting legendary mangwair verse.hata hivyo kwa kunukuu hivyo haimaniishi kwamba ndio tumegive hustling still continues.....h ha h ahaa, yaa ndugu, haya maisha ukiamua kuwa msindikizaji tayari ushajimaliza!! tutakomaaa mpka mwisho maadamu tuwazima wa afya!
...unga noma...!!
Wambieeeee maana watu
upenda kuponda bila ata kuwapongeza.kuna watu uponda pale wenzao
wanapopata mafanikio
Ina maana nyie tanzania mulisha muona Diamond tu??