PHOTOS - Uhuru has commissioned this massive Sh65 billion superhighway in Nairobi today

Ujinga nawewe unao.

Kwani kwenye litre moja ya mafuta unalipia shingapi ya road license????na je unafahamu litre moja ya petrol kenya ni shilingi ngapi ukilinganisha na tz???

Unaandika tu.
 
Ni ajabu kudhani tunafanya sababu nyinyi mmefanya.

Kama tungekuwa tunashindana kujibu vihoja vyenu,bagamoyo port ingekuwa underconstruction,but NO.

Ni vile mnakimbia hamjui mnaenda wapi,sgr inatwambia mengi.
 
Baada ya kipigo mfululizo hatimaye wakenya wapumua sasa humu jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hongereni sasa kwa kupata pumziko la muda,yess ni la muda.
Si muda mrefu kipigo kingine kutola LDC nation kinawajia.
Hizi ni akili za kitoto sana. Kenya haina muda wa kumtizama mtu yeyote yule. Watu wana roadmap na mipango ya kufikia malengo yao k.m. Vision 2030.
 
Point noted !......the market will eliminate such exploitative forces by itself ,by individuals choosing the most affordable.
Thank you.
 
Ni ajabu kudhani tunafanya sababu nyinyi mmefanya.

Kama tungekuwa tunashindana kujibu vihoja vyenu,bagamoyo port ingekuwa underconstruction,but NO.

Ni vile mnakimbia hamjui mnaenda wapi,sgr inatwambia mengi.
Reason is not automatic. Those who deny it cannot be conquered by it. Do not count on them. Leave them alone. ~Ayn Rand
 
Hizi ni akili za kitoto sana. Kenya haina muda wa kumtizama mtu yeyote yule. Watu wana roadmap na mipango ya kufikia malengo yao k.m. Vision 2030.
Actually hata uchumi wa 99bln kenya ya fieled haiuoni,tofauti na nyinyi wakenya watoto wa humu jf[emoji23][emoji23][emoji23]
 
The IMF and world bank are imperialists agents, Kenya, unlike Tz, is an imperialistic countty,

Kesi ya ngedere hakimu nyani binadamu atapona??.🤣🤣
Are you trying to insinuate that out of 54 African countries, it is only Tanzania whose economic growth is systematically skewed by the two institution to portray it weak economically for reasons best known to Tanzania?
 
The Mombasa - Nairobi Expressway mambo imenoga
 
Actually hata uchumi wa 99bln kenya ya fieled haiuoni,tofauti na nyinyi wakenya watoto wa humu jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Boss, hueleweki, unajaribu kusema nini? Au ndio ulinuia tu kuumiza vichwa vya wanaosoma hizi pumba kwenye hii comment yako?
 
Boss, hueleweki unajaribu kusema nini? Au ndio ulinuia tu kuumiza vichwa vya wanaosoma hizi pumba kwenye hii comment yako?
Kwani skul yako iko na githeli ndani!!!!!

Huko field ni mwendo wa mikopo tu,wakati mnashangilia 99bln.
 
Kwani skul yako iko na githeli ndani!!!!!

Huko field ni mwendo wa mikopo tu,wakati mnashangilia 99bln.
Ungekuwa mjanja kama unavodhania, ungeweza kung'amua kwamba huu mradi sio wa mkopo. Info yote ipo hapo kwenye taarifa. Au hata taarifa ya mada pia hujui ilipo?
 
Ungekuwa mjanja kama unavodhania, ungeweza kung'amua kwamba huu mradi sio wa mkopo. Info yote ipo hapo kwenye taarifa. Au hata taarifa ya mada pia hujui ilipo?

Huo sio mkopo ni uwekezaji wa miaka 50,unajua maana yake???au ndio kushangilia tu!!!
 
Kule Westlands wanaishi Mostly Wahindi na watu wenye kipato kikubwa ni pazuri sana kule...Hao ndio watafaidi lakini wengineo kule uswahilin subiri
 
Ashakum si matusi lakini kujadili chochote na mpumbavu kama wewe ni kupoteza muda.
Huo sio mkopo ni uwekezaji wa miaka 50,unajua maana yake???au ndio kushangilia tu!!!
Hapa unasema sio mkopo, eti ni uwekezaji wa miaka 50. Hapa chini dakika chache zilizopita ulisema ni mkopo.
Kwani skul yako iko na githeli ndani!!!!!Huko field ni mwendo wa mikopo tu,wakati mnashangilia 99bln.
Boss, inamaana kwamba unajadili kuhusu jambo ambalo hulifahamu hata kidogo? Mbona usichukue muda kidogo tu kufanya utafiti kabla ya kuleta ubishi na ujuaji mwingi?
Sina la ziada.
 
Great. Not only do we have great infrastructure, we also have a thriving media.

Tanzania naomba mungu kila siku dikteta wenu awaruhusu muwe na media independent. Hio siku ikifika, mtapata ripoti kama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…