PICHA 30: Muonekano wa Miji ya Uturuki na Syria baada ya kupigwa na Tetemeko la Richa 7.8

PICHA 30: Muonekano wa Miji ya Uturuki na Syria baada ya kupigwa na Tetemeko la Richa 7.8

7.8 ikipita kwenye nchi yoyote ile ambayo majengo yake sio Earth Quarke resistant, lazima maafa yatokee.

Japana 2011 walipigwa na 8.7 ila majengo hayakudondoka
 
Hapa ndipo ukomo wa Sayansi yetu hufikia, Sayansi bado haijaweza kutabiri ukubwa wa tetemeko siku chache kabla, kila siku tunawaambia wanadamu wabishi kwamba huu Ulimwengu tunaujua kwa 3% tu, 97% hatujui lolote.

Mungu tuepushe haya majanga, imagine itokee pale Posta mpya si tutazika mamillion ya watu.
Uzuri wa sayansi ni kwamba, sayansi ni mchakato endelevu, sayansi si lidude fulani hivi ambalo limekamilika.

Na mchakato huu, pale ambapo kwa ujuzi wa leo haufahamu kitu, uko wazi kabisa kukubali hilo na kufanya uchunguzi zaidi kupunguza ujinga wetu pale inapowezekana.

Kwa kweli, kukubali kwamba hujui jibu ni mwanzo mzuri sana wa uchunguzi wa kukupeleka kwenye kujua kitu. Ukijifanya unajua kitu, wakati hukijui, unapunguza sana nafasi ya kukijua hicho kitu.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kusingekuwa na tetemeko la ardhi la kuua viumbe vyake.

Sayansi haina longolongo, pale ambapo haina majibu, haioni shida kukubali hilo.

Dini kwa upande mwingine, inakuambia ina majibu yote, lakini ukichunguza unaona porojo tu.

Hapo ndipo ninapoipendea sayansi.




Can you predict earthquakes?​




No. Neither the USGS nor any other scientists have ever predicted a major earthquake. We do not know how, and we do not expect to know how any time in the foreseeable future. USGS scientists can only calculate the probability that a significant earthquake will occur (shown on our hazard mapping) in a specific area within a certain number of years.
An earthquake prediction must define 3 elements: 1) the date and time, 2) the location, and 3) the magnitude.
Yes, some people say they can predict earthquakes, but here are the reasons why their statements are false:
  1. They are not based on scientific evidence, and earthquakes are part of a scientific process. For example, earthquakes have nothing to do with clouds, bodily aches and pains, or slugs.
  2. They do not define all three of the elements required for a prediction.
  3. Their predictions are so general that there will always be an earthquake that fits; such as, (a) There will be a M4 earthquake somewhere in the U.S. in the next 30 days. (b) There will be a M2 earthquake on the west coast of the U.S. today.
If an earthquake happens to occur that remotely fits their prediction, they claim success even though one or more of their predicted elements is wildly different from what actually occurred, so it is therefore a failed prediction.
Predictions (by non-scientists) usually start swirling around social media when something happens that is thought to be a precursor to an earthquake in the near future. The so-called precursor is often a swarm of small earthquakes, increasing amounts of radon in local water, unusual behavior of animals, increasing size of magnitudes in moderate size events, or a moderate-magnitude event rare enough to suggest that it might be a foreshock.

Unfortunately, most such precursors frequently occur without being followed by an earthquake, so a real prediction is not possible. Instead, if there is a scientific basis, a forecast might be made in probabilistic terms. See: What is the difference between earthquake early warning, earthquake forecasts, earthquake probabilities, and earthquake prediction?

An earthquake forecast was made in China several decades ago based on small earthquakes and unusual animal activity. Many people chose to sleep outside of their homes and thus were spared when the main earthquake indeed occurred and caused widespread destruction. However, this type of seismic activity is rarely followed by a large earthquake and, unfortunately, most earthquakes have no precursory events whatsoever. The next large earthquake in China had no precursors and thousands of people died.

The USGS focuses its efforts on the long-term mitigation of earthquake hazards and by helping to improve the safety of structures, rather than by trying to accomplish short-term predictions.

mrangi
 
Imagine umeenda kuongeza matako uturuki af katikat ya procedure inapigwa tetemeko hospital inasambaratika halafu taifa linakua busy kuhudumia majeruhi wa tetemeko inabidi urudishwe bongo na matako nusu ya ulioenda nayo hapo ndio utajua umuhimu wa katiba mpya
Ha ha ha....[emoji1787]
 
Aisee,Mungu atusamehe makosa yetu maana hizi ni dalili za Sodoma na Gomora!
 
Back
Top Bottom