PICHA Achana na magorofa machache city centre hii ndiyo DAR halisi.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana.

Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia.

Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi kama TZ yenye aridhi bwerere unaruhusuje watu kujenga namna hii..

 
Kwani nani aliwaruhusu kujenga hivyo??
 
Ni upumbavu kudhani vipaumbele vyako ni vipaumbele vya watu wengine

Wewe ukiwa unaona shida kuishi hivyo basi wenzako ni burudani

Wakati unapenda kuishi kwenye nyumba zilizoachana kwa wengine hiyo ni kero

KILA MTU AISHI ANAPOPAPENDA
 
Ni upumbavu kudhani vipaumbele vyako ni vipaumbele vya watu wengine

Wewe ukiwa unaona shida kuishi hivyo basi wenzako ni burudani

Wakati unapenda kuishi kwenye nyumba zilizoachana kwa wengine hiyo ni kero

KILA MTU AISHI ANAPOPAPENDA
Uswahili unakusumbua. Kwa akili ya kawaida tu hayo ni makazi ya kuishi.watu?
 
Takataka tupu
 
Hii view ya mabati yenye kutu ukitaka kuifaidi ushuke na ndege mchana hapo Vingunguti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni mji gani Tanzania ambao nyumba zote ni magorofa matupu ?! Kwanza mtoa mada ungetuonyesha picha ya nyumba yako kwanza halafu ndio tulinganishe na nyumba za DSM.
 
Mazingira ya hivi raha sana nyakati za jioni ukishapiga bafu ukawa unabarizi nje unaangalia misambwanda ikipitapita..harufu ya samaki wa kukaanga vyuku na vyipsi.....pia jirani akipika pilao harufu yasikika...maji taka kuruka ni kama jadi....changamoto siku ukitokea mlipuka wa moto wa gesi ...kwa kuzingatia kwa sasa familia nyingi zinaanza kumudu mtungi wa gesi
 
Bongo Dar es Salaam.....njoo uku kwetu mburahati,kuna maeneo MTU ana nyumba lakini gari analilaza uko km 5....hakuja njia ya kupita gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…