PICHA Achana na magorofa machache city centre hii ndiyo DAR halisi.

Bongo Dar es Salaam.....njoo uku kwetu mburahati,kuna maeneo MTU ana nyumba lakini gari analilaza uko km 5....hakuja njia ya kupita gari
Ushafika Venice Italia? Sio huko tu, London tu baadhi ya maeneo pamoja na magorofa yanayonekana ni mazuri, barabara za kufikisha magari maeneo wanayo ishi watu ni shida.
 
Hata Ulaya ni hivi hivi.
 
Duuuh kama magofu ya Gaza hata Gaza ina afadhali.
 
Ni mji gani Tanzania ambao nyumba zote ni magorofa matupu ?! Kwanza mtoa mada ungetuonyesha picha ya nyumba yako kwanza halafu ndio tulinganishe na nyumba za DSM.
Mpangilio wa makazi kiongozi ni wa hovyo
 
Ukiwa angani kwenye ndege una weza kusema nywele za vipilipili
 
Ngoja niwahi kuweka foleni ya supu ya mapupu hapo, Tandale uzuri, na chapati za buku, tatu nile ninywe na maji nikalale nikiamka jioni nafinya Cha mtume,

Uswahilini Raha sana
 
Weka na picha za mkoani ndani ndani, sio wilayani.
 
Jitahidi pamoja na kujenga nyumba nzuri mkoani Basi dar uwe hata na nyumba ya chumba na sebule ,kumbuka muhimbili ipo dar ,uwanja wa taifa upo dar ,UDSM ipo dar ,mwendokasi upo dar kidimbwi na kitambaa cheupe zipo dar ,na mwamposa pia yupo dar

Yaan dar ndio kila kitu
 
Tulia!!!
 
Umesahau kumwambia na flyover (madaraja ya juu ) ziko Dar
 

Attachments

  • images-2.jpg
    33.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…