Picha: AINA ZA VITAMBI

Watu wembamba tukiwa na vitambi ..... kwashiokoor design ni noma!
 

HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA da aiseeeeeeeeeeeeeeeee
TANMO atakua ana kitambi mvurugo hahahahahaaaaa
my brother mayenga ana kitambi cha Mchuchumio hahahaaa
My dadiiiii Excel alikuwa na mtepeto ila kwa sasa kimeisha sababu ameacha kula viporo
my x shem mgiriki yeye ana Mbonyeo lol...
Bila kumsahau best yangu, my brother from "anaza" mama Himidini... yeye ana mchuchumio pia hahahaaaaa
Mie hapa... nina hicho cha mtunguo.. kila siku naingia kwenye maombi ila hata kupungua kimegoma lol....
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hii kali sana, nasubiri ufafanuzi kutoka kwa Mzizi mkavu [MENTION]mzizi mkavu[/MENTION]
 
Hahahahahahahaha. Hicho no 5 kimeniacha hoi.
 
Kitambi sasa usiwe na hela!
Kuna wazee wa kahawa na kula kashata wao kucheza draft sana ila wanazo
 
kitambi kwa wanaume wala hakiwatesi wao

kina tutesa sisi

unataka kujua kwa nini???
lazima kiwatese maana uwa kinabebwa na kutupiwa juu ya mgongo jinsia ya ke pale anapo kua anachuma mchicha zaidi ya hapo dushelele haina mashiko ya kufanya makeke pia mnapata shida ya kukisukuma kwa mbele ivi pale jinsia me anapo kupa ujisevie usipo komaaa kulisukuma tumbo husika dushelele kuipata inakua shida saaaaaaaana
 

^^
Ha ha haaaaaaa! I will be back
^^
 

una experience mmh ulishashuhudia nini


au umetoa wapi mmmh
 
Very interesting. Itakaa poa zaidi ukiweka source ya info.yako
Post hii haina source ya kitaaluma @SNAP! (ie no scientific base and analysis of pot bellies).Kwa hiyo kwangu hii thread naiona kama gumzo la kustarehesha jukwaa. Ndio maana namwomba Paw au PainKiller aihamishie post hii kule Jokes+Udaku+Gossip.
 
Last edited by a moderator:
Post hii haina source ya kitaaluma @SNAP! (ie no scientific base and analysis of pot bellies).Kwa hiyo kwangu hii thread naiona kama gumzo la kustarehesha jukwaa. Ndio maana namwomba Paw au PainKiller aihamishie post hii kule Jokes+Udaku+Gossip.

Haina kwere kiongozi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…