PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

Joined
Jan 1, 2014
Posts
14
Reaction score
8
Kuna ajali mbaya sana imetokea mlima Sekenke muda huu na watu 4 amefariki dunia.Ajali hiyo ilitokea wakati gari la mafuta kufeli breki na kuingia darajani na kulipuka moto.

Ni ajali mbaya sana ambayo ni vigumu kuielezea.

-------------
Dah watu wa nne mmoja ni mwanamke wameteketea So sad aisee!!

============




Wanainchi wakiangalia Lori baada ya kuungua

Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii

Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hii



Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa


Hii ni njia ya mlima sekenke

Haya ni mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwam kwenye Lori hiloo

Moto ukimalizikia kwa mbaliii kama inavyoonekana
 
Dah watu wa nne mmoja ni mwanamke wameteketea So sad aisee!!
 
poleni sana,mlima sekenke si ulisha rekebishwa?hapo sijaelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…