PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

Kama walikuwa wema, wazidishiwe wema wao na kama walikuwa waovu, walipwe malipo yatokanayo na uovu wao.
 
Kama walikuwa wema, wazidishiwe wema wao na kama walikuwa waovu, walipwe malipo yatokanayo na uovu wao.

Mwenyezi Mungu wa rehema awarehem sawasawa na fadhili zake, awalaze mahala pepa pepon ...Amen.
 
Kuna ajali mbaya sana imetokea mlima Sekenke muda huu na watu 4 amefariki dunia.Ajali hiyo ilitokea wakati gari la mafuta kufeli breki na kuingia darajani na kulipuka moto.

Ni ajali mbaya sana ambayo ni vigumu kuielezea.

-------------

weka picha
 
awalaze maali walipo.jichagulia. Tuache lugha za kumfundisha mungu,kazi je! Ikiwa mareemu alimkataa,mungu na kutegemea vibuyu na amekufa na vibuyu vyake? Je mungu yupo hapo? Kila mtu atalazwa maali alipojichagulia. No fojari.

Hivi wewe ni mtanzania mwenzetu???
 
Hakuna kufuta kauli ikiwezekana tupewe bunduki kabisa waone shughuli yao.
Kaka yangu mtendaji wa kijiji ametobolewa jicho hapa Kahama watamlipa nini?

Kama wataenda huko Umoja wa Mataifa nawataka wapitie kwangu video na picha za hawa waliokatwa mikono,miguu na picha ya kaka yangu aliyonyofolewa jicho ili kesi iwe nzuri.

Inaniuma Kutoka moyoni.

We acha chuki wewe mm mwenyewe nilikiwepo hao jamaa wa ccm walipigwa na wananchi na si viongizi wa chadema ndo maana akimu akaona Hamna kesi ya kujibu akawaachia wale viongozi wa chadema
 
poleni sana,mlima sekenke si ulisha rekebishwa?hapo sijaelewa mkuu

Mkuu hakuna uhusiano kati ya kurekebisha mlima na gari kufeli breki. Hata mwinuko ukiwa mdogo/nafuu gari ikifeli breki majanga huweza kuwa makubwa. RIP marehemu!
 
Duh wapumzike kwa aman. So sad.

Sent from my SM-N9005 using Tapatalk
 
Ajali mbaya sana jamani!

Mwenyenzi MUNGU awape pumziko la milele Marehemu wote!
 
Duh tukio baya sana hilo na sijui na kampuni gani iliyohusika ndugu zanguni
 
Mwana JF Nakupa Big Up Kwa Clear Pictures Za Matukio na Kwa Kutuhabarisha Lililotokea. Heko Sana na Pole Mno Kwa Wafiwa.
 
Back
Top Bottom