Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
awalaze maali walipo.jichagulia. Tuache lugha za kumfundisha mungu,kazi je! Ikiwa mareemu alimkataa,mungu na kutegemea vibuyu na amekufa na vibuyu vyake? Je mungu yupo hapo? Kila mtu atalazwa maali alipojichagulia. No fojari.
Mafundisho ya dini mpya hizi... dini za zamani zinafundisha binadamu kutohukumu maaana huruma ya Mungu inapita ufahamu wetu. ni ngumu kumhukumu mtu hata kama ametenda makosa kama ya Yuda Iskarioti.Aiseee ninii?? Wapumzike mahali walipojiandalia wakati wa uhai wao ndo usemi unaotakiwa. RIP unayajua matendo yaon??
Alikuwa ameopolewa
Mungu ametuagiza tumuombe na atatupa tuyaombayo, na ndicho tukifanyacho-kumuomba awalaze palipo pema
Alikuwa ameopolewa
Mwana JF Nakupa Big Up Kwa Clear Pictures Za Matukio na Kwa Kutuhabarisha Lililotokea. Heko Sana na Pole Mno Kwa Wafiwa.