PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

Alikuwa ameopolewa

Huwezi jua jamani, labda alikuwa anatafuta kuni chini ya daraja halafu lori limeangukia karibu yake likaripuka likamuua na kumuunguza, ya Mungu mengi. (Kama mtu ameungua akateketea, wamejuaje kwamba ni mwanamke?)
 
Inahuzunisha sana. R.I.P marehemu wote, Innalilah wainilayhi rajiun.
 
unapoanza safari jikabidhi mikononi mwa MUUMBA wako ili ulindwe na malaika walinzi.
 
R.I.P Serikali watoe kandarasi ya kufanyia marekebisho ya kutosha sehemu korofi kama Sekenke.
 
Sisi tuliwapenda lakini Mungu aliyewaleta duniani yeye kawapenda zaidi. Pole kwa watz wote hasa hasa ndugu na jamaa wa marehemu
 
awalaze maali walipo.jichagulia. Tuache lugha za kumfundisha mungu,kazi je! Ikiwa mareemu alimkataa,mungu na kutegemea vibuyu na amekufa na vibuyu vyake? Je mungu yupo hapo? Kila mtu atalazwa maali alipojichagulia. No fojari.

Mungu ametuagiza tumuombe na atatupa tuyaombayo, na ndicho tukifanyacho-kumuomba awalaze palipo pema
 
Soo sad! poleni sana wafiwa Mungu wa mbinguni awape ustahmilifu pindi mpokeapo taarifa za msiba huu na awatie nguvu ktk kipindi chote cha maombolezo!
 
Du, Inasikitisha kweli kwa hali hiyo, na mazingira yalivyo pale hata jinsi ya kuokolewa inakuwa ngumu, ni pori, moto wa mafuta. Inauma sana. Poleni wafiwa wote na Mungu awape nguvu katika kukabili hali hii ya majonzi, Mungu azilaze mahala pema roho za wapendwa wetu, AMEN!
 
R.I.P all uku nyuma tupo tunaikomboa tanganyika yetu iliyo huru mwambieni nyerere na sokoine tupo kwenye mchakato wa kuirudisha
 
Back
Top Bottom