haya ni yako siyo ya Mungu, acheni kuleta upagani kwa Mungu. niandiko gani linasema alazwe mahari pema peponi?
awalaze maali walipo.jichagulia. Tuache lugha za kumfundisha mungu,kazi je! Ikiwa mareemu alimkataa,mungu na kutegemea vibuyu na amekufa na vibuyu vyake? Je mungu yupo hapo? Kila mtu atalazwa maali alipojichagulia. No fojari.