PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

aisee inatisha na kusikitisha sana poleni wafiwa
 
Mungu awalaze pema peponi marhumu hao!!!!!!


Na mnaoonea wivu marehemu nanyi pia mlazwe pema peponi ikiwezekana leo hii hii ili mkaungane nao nasi tuendelee kuwaombea !!!!!!
 
Huo mwili inasemekana ni Dereva wa petrofuel company, alipakia petrol 40000lts kutoka kampuni ya Gapco (T) ltd .mwenyezi mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amen
 
Ee wapokee ktk pumziko la milele hawa ndugu zetu.. usiwahukumu tena kwa moto wa milele maana tayar wameuonja tena kwa mateso makali. wasamehe Dhambi zao .. wapumzike kwa Aman...Emen
 
awalaze maali walipo.jichagulia. Tuache lugha za kumfundisha mungu,kazi je! Ikiwa mareemu alimkataa,mungu na kutegemea vibuyu na amekufa na vibuyu vyake? Je mungu yupo hapo? Kila mtu atalazwa maali alipojichagulia. No fojari.

Mmmmh! unatisha
 
Huu mlima ni hatar sana Tanroad iangalie jinsi ya kupafanyia modification hata mabams makubwa ili kupunguza ajali
 
Aisee miaka imepita,mungu awastili marehemu,Amina
 
Back
Top Bottom