They deserve lynching by their testicles.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They deserve lynching by their testicles.
Duu, tumekwisha!!!! Umepata wapi hii picha?!Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.
Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku lease bandari zetu bila kikomo. ila najua tu kwamba waarabu ni wazuri katika mambo ya lobbying.
Baadhi ya waandishi wa habari walialikwa. Ndio hawa akina Kitenge na wenzake pichani. Wote hawa wamesikika wakitetea mkataba wa DP World kwa nguvu zote na kukejeli wale wanaoupinga.
Hatujui kwa hakika walichowekewa kwenye makasha hayo pichani, yawezekana ikawa ni vizawadi vidogo tu, chocolate, biskuti, n.k. Mimi siamini kwamba watu hawa wanaweza kubweteka na kuruhusu mkataba mmbovu kwa vizawadi hivyo kwenye makasha hayo.
Ila napata picha kwamba lobbying kubwa ilifanyika huko Dubai na hii ndio sababu ya wabunge wengi kutetea mkataba huu bila kujali athari za muda mrefu za jambo hilo.
NB: Nasikia walipewa escort ya ving’ora pia?!
View attachment 2666556
Dah!Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.
Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku lease bandari zetu bila kikomo. ila najua tu kwamba waarabu ni wazuri katika mambo ya lobbying.
Baadhi ya waandishi wa habari walialikwa. Ndio hawa akina Kitenge na wenzake pichani. Wote hawa wamesikika wakitetea mkataba wa DP World kwa nguvu zote na kukejeli wale wanaoupinga.
Hatujui kwa hakika walichowekewa kwenye makasha hayo pichani, yawezekana ikawa ni vizawadi vidogo tu, chocolate, biskuti, n.k. Mimi siamini kwamba watu hawa wanaweza kubweteka na kuruhusu mkataba mmbovu kwa vizawadi hivyo kwenye makasha hayo.
Ila napata picha kwamba lobbying kubwa ilifanyika huko Dubai na hii ndio sababu ya wabunge wengi kutetea mkataba huu bila kujali athari za muda mrefu za jambo hilo.
NB: Nasikia walipewa escort ya ving’ora pia?!
View attachment 2666556
Mwenyeji kavaa kanzu nyeupe kutokana na joto kali,akina Mangungo wetu wamevaa suti nyeusi pamoja na kujikaba koo na mjoto wote wa Uarabuni, hivi hawa wanajua wanachokifanya? sijui watoto wao wanajisikiaje wakiwaona wmebeba mifuko ya zawadi utadhani watoto wa chekechea.Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.
Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku lease bandari zetu bila kikomo. ila najua tu kwamba waarabu ni wazuri katika mambo ya lobbying.
Baadhi ya waandishi wa habari walialikwa. Ndio hawa akina Kitenge na wenzake pichani. Wote hawa wamesikika wakitetea mkataba wa DP World kwa nguvu zote na kukejeli wale wanaoupinga.
Hatujui kwa hakika walichowekewa kwenye makasha hayo pichani, yawezekana ikawa ni vizawadi vidogo tu, chocolate, biskuti, n.k. Mimi siamini kwamba watu hawa wanaweza kubweteka na kuruhusu mkataba mmbovu kwa vizawadi hivyo kwenye makasha hayo.
Ila napata picha kwamba lobbying kubwa ilifanyika huko Dubai na hii ndio sababu ya wabunge wengi kutetea mkataba huu bila kujali athari za muda mrefu za jambo hilo.
NB: Nasikia walipewa escort ya ving’ora pia?!
View attachment 2666556
Kama hawa ndio walikuwa wakitoa siri kwa wakoloni mlikojifichaTunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.
Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku lease bandari zetu bila kikomo. ila najua tu kwamba waarabu ni wazuri katika mambo ya lobbying.
Baadhi ya waandishi wa habari walialikwa. Ndio hawa akina Kitenge na wenzake pichani. Wote hawa wamesikika wakitetea mkataba wa DP World kwa nguvu zote na kukejeli wale wanaoupinga.
Hatujui kwa hakika walichowekewa kwenye makasha hayo pichani, yawezekana ikawa ni vizawadi vidogo tu, chocolate, biskuti, n.k. Mimi siamini kwamba watu hawa wanaweza kubweteka na kuruhusu mkataba mmbovu kwa vizawadi hivyo kwenye makasha hayo.
Ila napata picha kwamba lobbying kubwa ilifanyika huko Dubai na hii ndio sababu ya wabunge wengi kutetea mkataba huu bila kujali athari za muda mrefu za jambo hilo.
NB: Nasikia walipewa escort ya ving’ora pia?!
View attachment 2666556
Dunia ya siku hizi ndogo ni wao wenyewe tu wamebweteka kwenye Twitter zao!Duu, tumekwisha!!!! Umepata wapi hii picha?!
Ujinga ni mzigo mkubwa sana,inaimiza saana!.Alaaniwe kwa sababu gani?
Acha makasiriko kutokana na ushamba wako
Nadhani shida ya wa Tanzania hawataki mtu awe na maoni tofauti wako watu wanadhani sio mpango mzuri na wako wana support hakuna shida katika hili na wala haijawahi kutokea watu wote tukakubaliana jambo moja ikiwa wewe unapinga ni haki yako na hawa pichani ni haki yao na pia hii mifuko usifanye kuwa issue kubwa ni kawaida ukienda kampuni yoyote kupata zawadi za Logo ya kampuni unayotembelea ni kawaida tu na ukiongelea 6 million sijui ukisafiri ni lazima upate per diem sasa 6 million kwa kutumia Dubai si lolote sababu kule gharama ni kubwa na per diem huwa zinatolewa kisheria kwa siku kiasi gani sio kila jambo ni rushwa na rushwa ikitolea haitolewi hadharani na pia kuna sheria za taasisi tofauti kuna kampuni zawadi unaruhusiwa kupokea lakini isizidi thamani fulani kama dola 200 hapo unatakiwa ku declare 200 kwenda chini wameipa jina Hospitality vitu kama pen, vitabu, vinywaji au ticket za michezo unaruhusiwa kupokea tu sio rushwa. Point kubwa hapa wanaopinga huu mkataba hawataki kuona mtu mwingine anaunga mkono, tukubali kutokubaliana ni kawaida tu. Hawa ni haki yao kila media ina jambo wana support hakuna jipya hata CNN wana agenda zao na wa push ukija Fox wao pia the same ni kawaida tu.Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.
Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku lease bandari zetu bila kikomo. ila najua tu kwamba waarabu ni wazuri katika mambo ya lobbying.
Baadhi ya waandishi wa habari walialikwa. Ndio hawa akina Kitenge na wenzake pichani. Wote hawa wamesikika wakitetea mkataba wa DP World kwa nguvu zote na kukejeli wale wanaoupinga.
Hatujui kwa hakika walichowekewa kwenye makasha hayo pichani, yawezekana ikawa ni vizawadi vidogo tu, chocolate, biskuti, n.k. Mimi siamini kwamba watu hawa wanaweza kubweteka na kuruhusu mkataba mmbovu kwa vizawadi hivyo kwenye makasha hayo.
Ila napata picha kwamba lobbying kubwa ilifanyika huko Dubai na hii ndio sababu ya wabunge wengi kutetea mkataba huu bila kujali athari za muda mrefu za jambo hilo.
NB: Nasikia walipewa escort ya ving’ora pia?!
View attachment 2666556
sawa lkn usiunge mkono UOVUHao siyo decision makers lakini.
Sahihisawa lkn usiunge mkono UOVU
Wamegawiwa visuti vya mikia ya kondoo, vimiwani vyeusi na vitai vyekundu vya mamlaka basi wanaona wameyawin maisha hawajui meza huwa zinapindukaTunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.
Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku lease bandari zetu bila kikomo. ila najua tu kwamba waarabu ni wazuri katika mambo ya lobbying.
Baadhi ya waandishi wa habari walialikwa. Ndio hawa akina Kitenge na wenzake pichani. Wote hawa wamesikika wakitetea mkataba wa DP World kwa nguvu zote na kukejeli wale wanaoupinga.
Hatujui kwa hakika walichowekewa kwenye makasha hayo pichani, yawezekana ikawa ni vizawadi vidogo tu, chocolate, biskuti, n.k. Mimi siamini kwamba watu hawa wanaweza kubweteka na kuruhusu mkataba mmbovu kwa vizawadi hivyo kwenye makasha hayo.
Ila napata picha kwamba lobbying kubwa ilifanyika huko Dubai na hii ndio sababu ya wabunge wengi kutetea mkataba huu bila kujali athari za muda mrefu za jambo hilo.
NB: Nasikia walipewa escort ya ving’ora pia?!
View attachment 2666556
Hao sio vijana. Wanapiga hela wastaafu vizuriHawa jamaa wametukosea sana ni ushahidi tosha vijana wa kitanzania baadhi yao wana fikra finyu sana