Picha: Akina Mangungo wa nyakati zetu? Inafikirisha

Duu, tumekwisha!!!! Umepata wapi hii picha?!
 
Dah!

Imenilazimu nikaiangalie tena picha hii kwa karibu zaidi.

Kwa vile sisi wengine hatwajui hawa waTanzania wenzetu, tena watanashati kwelikweli, kwa mwonekano wao, ingesaidia sana kujua Kitenge ni yupi, na hao wengine ni akina nani.
 
Mwenyeji kavaa kanzu nyeupe kutokana na joto kali,akina Mangungo wetu wamevaa suti nyeusi pamoja na kujikaba koo na mjoto wote wa Uarabuni, hivi hawa wanajua wanachokifanya? sijui watoto wao wanajisikiaje wakiwaona wmebeba mifuko ya zawadi utadhani watoto wa chekechea.
 
Kama hawa ndio walikuwa wakitoa siri kwa wakoloni mlikojificha
 
Kumbuka Nabii Angel wa Zimbabwe yuko nchini. Juzi alionekana Clouds media akihojiwa. Huyu ni yule wa scandal ya Gold Mafia ya Zimbabwe. Swali ni je, kaja kufanya nini? Maana huyu ni mzoefu wa kutakatisha fedha.
 
Nadhani shida ya wa Tanzania hawataki mtu awe na maoni tofauti wako watu wanadhani sio mpango mzuri na wako wana support hakuna shida katika hili na wala haijawahi kutokea watu wote tukakubaliana jambo moja ikiwa wewe unapinga ni haki yako na hawa pichani ni haki yao na pia hii mifuko usifanye kuwa issue kubwa ni kawaida ukienda kampuni yoyote kupata zawadi za Logo ya kampuni unayotembelea ni kawaida tu na ukiongelea 6 million sijui ukisafiri ni lazima upate per diem sasa 6 million kwa kutumia Dubai si lolote sababu kule gharama ni kubwa na per diem huwa zinatolewa kisheria kwa siku kiasi gani sio kila jambo ni rushwa na rushwa ikitolea haitolewi hadharani na pia kuna sheria za taasisi tofauti kuna kampuni zawadi unaruhusiwa kupokea lakini isizidi thamani fulani kama dola 200 hapo unatakiwa ku declare 200 kwenda chini wameipa jina Hospitality vitu kama pen, vitabu, vinywaji au ticket za michezo unaruhusiwa kupokea tu sio rushwa. Point kubwa hapa wanaopinga huu mkataba hawataki kuona mtu mwingine anaunga mkono, tukubali kutokubaliana ni kawaida tu. Hawa ni haki yao kila media ina jambo wana support hakuna jipya hata CNN wana agenda zao na wa push ukija Fox wao pia the same ni kawaida tu.
 
Wamegawiwa visuti vya mikia ya kondoo, vimiwani vyeusi na vitai vyekundu vya mamlaka basi wanaona wameyawin maisha hawajui meza huwa zinapinduka
 
Ndugu Zangu Majizi Yapo Hata Ccm
By Mzilankende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…