WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Mama yakoKama ni yeye si ameshakufwa, kwa hiyo kwa sasa CCM hawataua tena raia ?
Na wakati ule wazanzibar walipokuwa wanauawa kipindi cha Mkapa, Kikwete na Magufuli, nani alikuwa anaingiza silaha?
Hizo za vikosini, viko “accounted for”Kwani kama Nchi vikosini hatuna silaha mpaka ziingizwe na Mtu?
Afufuke ili atunguliwe upya.
Show off ni strategy ya kujaribu kuficha mambo mengineKama kawaida huwa Fixer hana maisha marefu labda awe na akili kubwa sana sio huyu aliyekuwa akijipost mitandaoni kila move kutafuta sifa za kitoto.
uko sawa.Show off ni strategy ya kujaribu kuficha mambo mengine
Hatari sanauko sawa.
Naliona tatizo katika picha zake na maRais. Ramaphosa alipata tabu sana kukanusha kuwa alikutana na huyo jamaa akidai inaelekea alijichomeka tu kwenye ziara yake huyo Zimbabwe. Ruto hakuwa na kauli baada ya kejeli alizomiminiwa na mahasimu wake aliponaswa red handed katika post za jitu. Hapa kwetu unajua kilichotokea. JF iliparalyze tukawa tunaizimua kwa VPN.
Ivi huu mkakati ulikuwa ni October na yeye wanazika October?
Huyo mtu, huo mtindo wake ndiyo ilikuwa njia yake kubwa ya kupotezea lengo, watu wasichimbe zaidi uhalisia wake.Shaddy deals. Mifumo rasmi ya nchi haiwezi kutumika katika kazi chafu. Hapa ndipo anapoingia Fixer.
Kama kawaida huwa Fixer hana maisha marefu labda awe na akili kubwa sana sio huyu aliyekuwa akijipost mitandaoni kila move kutafuta sifa za kitoto.
Unacheza kuwapa silaha mpaka traffic? Silaha nyingi zilizopo Armory ni za kufunga na manati. A short notice supply you need to bypass legal channels na kutumia watu ambao tayari wana a quick and reliable supply chain...Kwani kama Nchi vikosini hatuna silaha mpaka ziingizwe na Mtu?
Tatizo letu sote linaanzia hapa.Naliona tatizo katika picha zake na maRais. Ramaphosa alipata tabu sana kukanusha kuwa alikutana na huyo jamaa akidai inaelekea alijichomeka tu kwenye ziara yake huyo Zimbabwe. Ruto hakuwa na kauli baada ya kejeli alizomiminiwa na mahasimu wake aliponaswa red handed katika post za jitu
Na mpunga wetu mrefu tu aliopewa kuutakatishaHuyu kenge ameondoka na siri nyingi sana.
Tume 'FEKI' ya Chande na huyo mwingine hazitasema chochote kuhusu haya.Hizo za vikosini, viko “accounted for”
Kila risasi inayotoka lazima iwe na maelezo.
Hivyo uchunguzi huru unashindwa kuwa “implicate”
Marais Wengi Wamepigwa ButwaA Wanatamani Waseme Neno Ila Wanalia Moyoni Makamasi YakiwatokaHuyu kenge ameondoka na siri nyingi sana.
Hajawahi kuwa mwanasiasa.Mama yako
Ile kwa rhamaposa big alijichomeka 😄uko sawa.
Naliona tatizo katika picha zake na maRais. Ramaphosa alipata tabu sana kukanusha kuwa alikutana na huyo jamaa akidai inaelekea alijichomeka tu kwenye ziara yake huyo Zimbabwe. Ruto hakuwa na kauli baada ya kejeli alizomiminiwa na mahasimu wake aliponaswa red handed katika post za jitu. Hapa kwetu unajua kilichotokea. JF iliparalyze tukawa tunaizimua kwa VPN.