Alikuwa akipeleka Sudan kusini pia. Chakujiuliza ni je Samia kapata pesa zake au ndio imetoka tena?? Katuangusha sana waislaam mtu yupo kwenye Eda halafu anachajna mbuga vile?? Shehe Mkuu na Mwaipopo wanasemaje kuhusu mtu yupo kwenye Eda kwenda Zimbabwe??Kama ni yeye si ameshakufwa, kwa hiyo kwa sasa CCM hawataua tena raia ?
Na wakati ule wazanzibar walipokuwa wanauawa kipindi cha Mkapa, Kikwete na Magufuli, nani alikuwa anaingiza silaha?
Hizo sheria za kidini zina apply kwa watu maskini na wasio na mamlaka..Alikuwa akipeleka Sudan kusini pia. Chakujiuliza ni je Samia kapata pesa zake au ndio imetoka tena?? Katuangusha sana waislaam mtu yupo kwenye Eda halafu anachajna mbuga vile?? Shehe Mkuu na Mwaipopo wanasemaje kuhusu mtu yupo kwenye Eda kwenda Zimbabwe??
Duh, pamoja na mbwembwe tulizoona kwenye mazishi!limesha kufa na limezikwa bila kichwa...! lijamaa limetuthibitishia kuwa ukizoea kula nyama za watu...hata nyama yako inaweza kulambwa ukizubaa
Kwenye uhalifu huwa hawatumii zilizosajiliwa.Kwani kama Nchi vikosini hatuna silaha mpaka ziingizwe na Mtu?
Jasusi m-bobevu asijue na itawatesa mudawote wamwachie huko alikoNchi anajua ndio maana wameondoa kihuni pale top 2
Hizo za vikosini, viko “accounted for”
Kila risasi inayotoka lazima iwe na maelezo.
Hivyo uchunguzi huru unashindwa kuwa “implicate”