Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusogerea ndo nini?Wenzio wametajilika Kwa Mr jiwe wewe hata muungane ukoo wenu ote hamuwezi kusogerea huyo bilionea kijana
Hongera kwakeAcha a enjoy maisha ni vizuri kama alijiwekeza KWENYE kilimo
Wala Nonchalant. Hana wivu amesema kweli, pesa aliyonayo Sabaya tu ni bilionea ,hapo bado kina Makonda, those dudes are filthy RichKwa nini unamuonea gere jamaa wazi wazi kabisa.
Hatuongelei Sabaya wala Makonda hapa. Hao jamaa umewatoa wapi?Wala Nonchalant. Hana wivu amesema kweli, pesa aliyonayo Sabaya tu ni bilionea ,hapo bado kina Makonda, those dudes are filthy Rich
Magufuli alikua aipeleke hii nchi shimoni sema Mungu fundi..Hatuongelei Sabaya wala Makonda hapa. Hao jamaa umewatoa wapi?
Utabaki unalia hovyo hovyo tu. Mwenzako keshatangulia mbele ya haki.Magufuli alikua aipeleke hii nchi shimoni sema Mungu fundi..
Kusogerea ndo nini?
Ahaaaa. Ananyoosha nyanya kipando cha kisasabasi sawa happi tumekuona.
Wala Nonchalant. Hana wivu amesema kweli, pesa aliyonayo Sabaya tu ni bilionea ,hapo bado kina Makonda, those dudes are filthy Rich
Ulimaliza la saba?Wenzio wametajilika Kwa Mr jiwe wewe hata muungane ukoo wenu ote hamuwezi kusogerea huyo bilionea kijana
Jehanamu sio mbele ya haki bwashee.Utabaki unalia hovyo hovyo tu. Mwenzako keshatangulia mbele ya haki.
Baadhi ya wenzangu CDM ni wapuuzi sana.Utabaki unalia hovyo hovyo tu. Mwenzako keshatangulia mbele ya haki.
Hawa ndio wanaochepusha maji ya mito kwa kilimo 😡