Picha: Ally Salum Hapi mkulima bora wa mwaka 2022

Picha: Ally Salum Hapi mkulima bora wa mwaka 2022

namkubali sana ally hap kijana huyo atafika mbali tangu akiwa chuo ni mtu anayejitambua na anayejuwa anafanya nini.
Kwa hiyo we hujitambui na hujuwi unafanya nini

Ova
 
Magufuli hawa vijana ndo alikuwa anawatumia katika Dirty games zake ...

Unapokuwa kijana mtumikie Mungu wako na sio kuwa Muuaji ,mbakaji na Mwizi

Ombeni bila kukoma
 
Huyo jamaa yuko busy kutakatisha pesa hapo. Mkulima halisi hanaga muda wa kujipiga picha ili kuzisambaza mitandaoni watu wamuone. Hapi ni miongoni mwa vijana walioiba pesa nyingi kwa kutumia kivuli cha Dikteta Magufuli, sasa Hapi kwa kwa woga wa kufuatwa na kufilisiwa ameamua kuonyesha kuwa yeye ni mkulima mkubwa ili kulinda pesa zake.
 
Back
Top Bottom