tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Haya; rudi shule kwanza kasome halafu ndio uje hapa kumwaga pumba zako.Wenzio wametajilika Kwa Mr jiwe wewe hata muungane ukoo wenu ote hamuwezi kusogerea huyo bilionea kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya; rudi shule kwanza kasome halafu ndio uje hapa kumwaga pumba zako.Wenzio wametajilika Kwa Mr jiwe wewe hata muungane ukoo wenu ote hamuwezi kusogerea huyo bilionea kijana
Mkulima anayekwenda shambani akiwa amevaa suti.
Kuzimu! Makazi ya kudumu ya mwendazake.Jehanamu ndio wapi huko?
Aandikeje mkuu ..?“Those dudes” [emoji16] I like that
Amevaa jaketi sababu Iringa kuna baridiMkulima anayekwenda shambani akiwa amevaa suti.
Ndio alivyokuambia au?Kuzimu! Makazi ya kudumu ya mwendazake.
Ni zao gani hilo?
Ushahidi wa wiziKilimo cha maigizo ya Instagram baada ya kupiga pesa ndefu kwenye siasa