Kama unapoga ramli umekosea..hufai kuwa mgangaUna upendo ila unapenda kudakia jambo kabla ya kuchunguza
Aiseee[emoji23] [emoji23]Unapenda magari ukute wewe fundi gereji
Hahahahaa!.Mkuu wewe ni philosopher kama wakina Aristotle
Uutabiri wako hauna tofauti na ule wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania.[emoji23]Mkuu wewe ni philosopher kama wakina Aristotle