Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Pendekeza namna nyengine bora zaidi watu waitumie mkuuView attachment 3371169wakati mke wako akiwa mjamzto hukumbana na changamoto nyingi na maumivu makali ila maumivu makali zaidi ni wakati wa
Kuangalia njia
Na
Kusafishwa uchafu baada ya kujifungua
Hapo lazima mkono wa mtaalam uingie wote
Ndio maana hawa viumbe wanapojifungua huwa km akili hazipo sawa
Operations.Pendekeza namna nyengine bora zaidi watu waitumie mkuu
Kwahiyo unataka wanawake wote wajifungue kwa upasuaji?Operations.
Lete Maneno....Kwahiyo unataka wanawake wote wajifungue kwa upasuaji?
Are you even listen to yourself!?
Atakayetaka kuepuka hayo mateso, wengine huamua wenyewe operations, siyo lazima.Kwahiyo unataka wanawake wote wajifungue kwa upasuaji?
Are you even listen to yourself!?