Wala sisi Marekan tumeshazoea tangu tuko nursery study tour zetu ni desney land.
Si mchezo mtu kawaona Michelle,Sasha,Malia,Barack.
Aibu kwan marekan mbinguni!!?
Wala sisi Marekan tumeshazoea tangu tuko nursery study tour zetu ni desney land.
Ninavojua mimi hata ndomo alishiriki kwenye ule wimbo,ni kigezo gani kilichofanya aachwe kwenye hiyo listi?au ni.......
Mbona umepanic?
Nakupa dedication ya song la East coast Team, Leoooo.
Mkuu BAK nisaidie kumshushia hii video imliwaze huyu.
Angelicious!Ha ha ha!!! Huu uzi umenifurahisha sana....nimeongeza siku za kuishi loh!!!
Ha ha ha!!! Huu uzi umenifurahisha sana....nimeongeza siku za kuishi loh!!!
Debe lenye kitu halipigi kelele,lakini debe tupu haliishi kelele ila leo sijawaona wale vijakazi sijui wamekimbilia wapi?
HA HA HA! damnn...umeniua sana mkuuyaaani angetaka mpaka taifa limsindikize airport
mi nasmaga acha kupiga mayowe acheni wayaone!!
wale wapambe wangesema kapiga picha na OBAMA
Wala sisi Marekan tumeshazoea tangu tuko nursery study tour zetu ni desney land.