Picha: AY na wasanii wengine wakiwa Ikulu ya Marekani

Hongera AY brother.. Piga kazi Sana kaka mungu atakutangulia., hongera diamond Kwa atua uliyofikia. Nyie ndo icone zetu
 
Ila mwanaume kusema nyoooo! Haijakaa vizuri mkuu...it's too girlish! I'm just sayin, sorry if you feel offended.

Ilo bwabwa siku nyingi mbona ..wahaya wenzie wamesoma lenyewe likaona ujanja ni kukimbia shule, sasa linauza tundu limekuwa mtaji wake.
 
Kamwe huwezi kupata umaarufu kupitia kwangu, nakupuuza tu sawa na wapuuzi wenzako.
 
Wala sisi Marekan tumeshazoea tangu tuko nursery study tour zetu ni desney land.

Kwahiyo kama umezoea tusimpongeze AY? Ni watu wachache mno wamefika hapo, mimi kwa mfano hata zijavuka nje ya Africa. Wacha pongezi apokee na wewe umefika ama hujafika sisi hatuna ushahidi so pita kimya or mezea mate sio lazima kujisifu!!
 
Kamwe huwezi kupata umaarufu kupitia kwangu, nakupuuza tu sawa na wapuuzi wenzako.

Mie ni mtu mkubwa in a real life na. napiga mawe kwa hilo...We kumbe unawaza umaarufu wa jf usiokuingizia chochote ndio maana una sound kama mtu aliyefuria so unatafuta wa kummalizia hasira .
 
Kwahiyo kama umezoea tusimpongeze AY? Ni watu wachache mno wamefika hapo, mimi kwa mfano hata zijavuka nje ya Africa. Wacha pongezi apokee na wewe umefika ama hujafika sisi hatuna ushahidi so pita kimya or mezea mate sio lazima kujisifu!!

Hujamfaham matola naona
 
HUwa wanaalikwa watu wenye Akili ZAo sio za Wakina NDAGUSHIMA na NAMBA WANI
 
Back
Top Bottom