Picha: AY na wasanii wengine wakiwa Ikulu ya Marekani

Picha: AY na wasanii wengine wakiwa Ikulu ya Marekani

Mie ni mtu mkubwa in a real life na. napiga mawe kwa hilo...We kumbe unawaza umaarufu wa jf usiokuingizia chochote ndio maana una sound kama mtu aliyefuria so unatafuta wa kummalizia hasira .
Naweza hata ktmwita Tyta akuoneshe kama kama mimi nimewahi kukuquote zaidi ya wewe kujipendekeza kwangu.
 
Last edited by a moderator:
=> Unajua MTU KAKULIA MBAGALA...mbele jalala...alafu kafika hadi Marekani..domo ndio linavimba sana...kaona kafika mbinguni na kurudi...of which we used to go..to & fro like usual...USHAMBA MBAYA SANA...hasa wa ELIMU...ukiwa na low IQ...upuuzi wako unaonekana openly...!!!

We ndo mshamba, maneno ya mkosaji yaani kwa haraka tu wewe IQ rate yako inaonekana uko mentally challenged.
nonsense mnamsakama kijana wa watu amekosa nini katika hili?
Kila MTU anachagua aishi vipi ebooo
 
Wengi hapa mnaotoa comment za kumpongeza ay ndo nyienyie mmekua mkiikandia taasi ya urais hapa bongo kuwa jk kaishusha hadhi yake kwa kupenda kuwa na wasanii pamoja na watu wengine mnahisi hawafai kuonana na rais kwa mitizamo yenu.

Je kwa Obama tukio kama hili mnaweza kulitolea maoni gani?

Au ndo yaleyale ya double standards na kupinga kila kitu kwa sababu mmeamua kuwa wapinzani???

Inawezekana leo mkanithibitisha kuwa mnakuwaga hamna hoja za maana zaidi ya WIVU WA KIKE ndo uwasumbuao.

Tubadilike jaman tuache kupinga kila kitu. Ni jukumu la Rais kujishusha na kumuika na watu wa makundi yote badala ya kujifanya Mungu mtu.

AU NA OBAMA KAWA MSWAHILI???????

Thanks indeed
 
siku hizi ikulu ya marekani ni kama ikulu ya bongo tu kila mtu anaweza kwenda.
Soon tutasikia Lulu, Masogange na Diamond nao wamealikwa

Mbona umetaja lulu, masogange na diamond au kwa vile status zao zinafanana? Maana sijakusoma hapo.
 
dah....comment yako kiongozi....
ili mradi tu aonekane hajafanya lolote,...
Hamna kaka, mimi natambua sana mchango wa huyu jamaa katika muziki wetu lakini isiwe sababu ya kumanipulate hiyo safari yake. Mleta mada ameileta utafikiri walienda katika mualiko fulani rasmi hivi wakati mimi naona kama ni safari ya kitalii ambayo Ikulu ya Marekani huwa inatoa kwa wanaopenda.
 
Ata ivyo ni mualiko rasmi kutoka govt ya marekani mkutano sijui wa nini nini.
 
Ngoja na mimi nijipe kazi.

AY ndio msanii wa kwanza Mtanzania kukanyaga white house.

Sisi watoto wa upanga hatunaga kelele haya ni mambo ya kawaida sana kwetu.

Kuna dogo amepita maskani hapa juzi kaenda huko WH kujimix kwenye shughuli za waafrika, mara ya tatu kama si ya nne sasa.

Hata picha ya White House kwenye Facebook profile yake huwezi kukuta.

It never occurs to me that it is such a big deal.

But of course, ukiwa mwanamuziki publicity is part of the job.
 
Ngoja na mimi nijipe kazi.

AY ndio msanii wa kwanza Mtanzania kukanyaga white house.

Sisi watoto wa upanga hatunaga kelele haya ni mambo ya kawaida sana kwetu.

Umejuaje mkuu? Upanga hivi vitu vya kawaida kwao
 
huyu mshikaji anakubalika sana nje ya mipaka yetu halafu hana kelele..hustle hard until you are no longer have to introduce yourself..

Ninachompendea AY ni kimoja tu, jamaa ana mambo makubwa lakini kimyaaaa..... Wanajua wanaomfuatilia kwa karibu sana au walio karibu naye... Sijamuona akiwa na tabia za kujaza magazeti ya udaku kila siku...

Keep it up AY....!!!
 
hana lolote huyo jamaa ni ndondokela tu
 
Back
Top Bottom