Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu.
Hivi mnaikumbuka ile Kebbys Hotel pale Bamaga, ambayo inaangaliana na Taasisi ya Elimu karibu na TBC?
Kwa wale wajanja wa hili jiji, hiyo Kebbys Hotel ilikuwa ni bonge moja la meeting point kipindi hicho.
Sijui nini kimetokea hapa katikati naona sasa hivi na yenyewe imebadilishwa jina inaitwa JIN KE (Whatever that means)
Soma pia: Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina
Mazingira yamebadilishwa, wameipamba kichina kichina tu. Wachina are buying real estate properties na potential areas zote huko Dar kwa spidi ya kasi sana.
Hapo tunapoongea Mikocheni wana ile Ilike Hotel (waliibadilisha jina), kuna ile Regency hotel pia waliibadilisha jina na pale Palm Village wana hotel na restaurants kubwa tu ZOTE ZA KICHINA.
Hapo sijagusia huko Masaki na Oysterbay. Maeneo karibu yote kwenye barabara ni Wachina tu.
Hii yote ni less than 5 years! Something is happening!