Picha: Baada ya Mikocheni sasa Wachina wanatua Mwenge. Kebbys Hotel pale Bamaga nayo imetwaliwa na Wachina!

Nyerere angeona hii comment yako angelia sana

Tukichukua hiyo point ya mitaji pekee na "kupanda bei" mbona WAKOLONI walikuwa na mitaji na teknolojia kuliko nyie wamatumbi na bado Nyerere aliwafukuza?
Elewa alichoandika mwenzako, tupo kwenye free market economy.. sasa mswahili hajui biashara kajenga li hoteli kashindwa kuliendesha, mchina kaja mswahili kafika dau kauza mali yake, hapo kuna ubaya gani?

Kwanza inasaidia uchumi maana wachina wataboresha hiyo hoteli na value addition itatokea kwenye uchumi.
 
Nyerere si nchi ilimshinda? Halafu sasa hivi hatuko kipindi cha ukoloni​

Hatuko kwenye ukoloni kwa sababu means of production including LAND na REAL ESTATE PROPERTIES mmeshika nyie Wamatumbi, at least in the most parts

Point nzima ya kufukuza wakoloni ukiachana na uhuru wa kisiasa, ni kuwapa wazawa ability ya kuwa na mitaji na kushika hizo means of production. That was the whole point.

China ni second biggest economy. Kama ishu ni mitaji, Wachina wakichukua 2 percent ya GDP yao wanaweza kununua Maeneo yote muhimu hii Dar nzima. Wamatumbi mko tayari? Na ndo wanachofanya sasa hivi.

Ukoloni unarudi lakini mnapiga makofi in the name of MITAJI. Mna tofauti gani na kina Chief Mangungo wa Msovero?
 
Wachina wamekuja wakati sahihi sana kuja kuwafundisha Watanzania maana ya uwekezaji na jinsi ya kufanya biashara ​

Unaamini kabisa Wachina wanacha shughuli zao for the sake of kuja kuwafundisha nyie jinsi ya kufanya biashara? Kwamba wana upendo sasa na nyie?

Daaah!
 
Wakuu.

Hivi mnaikumbuka ile Kebbys Hotel pale Bamaga, ambayo inaangaliana na Taasisi ya Elimu karibu na TBC?

Kwa wale wajanja wa hili jiji, hiyo Kebbys Hotel ilikuwa ni bonge moja la meeting point kipindi hicho.

Sijui nini kimetokea hapa katikati naona sasa hivi na yenyewe imebadilishwa jina inaitwa JIN KE (Whatever that means)

Soma pia: Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

Mazingira yamebadilishwa, wameipamba kichina kichina tu. Wachina are buying real estate properties na potential areas zote huko Dar kwa spidi ya kasi sana.

Hapo tunapoongea Mikocheni wana ile Ilike Hotel (waliibadilisha jina), kuna ile Regency hotel pia waliibadilisha jina na pale Palm Village wana hotel na restaurants kubwa tu ZOTE ZA KICHINA.

Hapo sijagusia huko Masaki na Oysterbay. Maeneo karibu yote kwenye barabara ni Wachina tu.

Hii yote ni less than 5 years! Something is happening!

View attachment 3337905

View attachment 3337904

View attachment 3337909
Chumba bei gani hapo Kebby's Hotel?
 
Wanunue tu hata ikulu ya magogoni na Dodoma, maana samia anachojua ni kurembua macho tu
 
Binafsi ni mtu ambae nawachukia sana wachina na wawekezaji wote ambao wapo nchini lakini hawatufaidishi... Kama hao wachina wamepata kihalali na wanalipa kodi stahiki bila janja janja sioni tatizo at all... na ndio maana ya kukaribisha wawekezaji...
Tatizo ni kwetu hizo kodi zinaenda au kutumika zinapotakiwa??
 
Hii nzuri Tena I need tuwe capitalism for 100% serikali isifannye biashara yoyote maana wamesha prove hawawezi kitu. Kuna siku nimekaa mwendo kasi 3 hours ni vile nilikuwa sina haraka na nilitka kuona ni vipi nchi yangu Haina usirias, hivi mtu unamueka 4hrs sometimes Kwenye Hilo mwendokasi basi haijafika maybe anawahi kusign mkataba wa maana kabisa ambao ungewapa mapato serikali ameona atumie mwendokasi labda atawahi kumbe ndio stress zinaenda kummaliza,

Wew serikali ya TZ jaribu kufikiri dunia ya Leo sio huko Tanu mlikotoka Kwenye ujamaa na udikteta fanyeni kasi ya dunia itawadhalilisha maana mnaonekana vituko TU wacheni wanaweza kufanya wafanye nyie angalieni Kodi itaingilia wapi leave everything to business men
 
Hatuko kwenye ukoloni kwa sababu means of production including LAND na REAL ESTATE PROPERTIES mmeshika nyie Wamatumbi, at least in the most parts

Point nzima ya kufukuza wakoloni ukiachana na uhuru wa kisiasa, ni kuwapa wazawa ability ya kuwa na mitaji na kushika hizo means of production. That was the whole point.

China ni second biggest economy. Kama ishu ni mitaji, Wachina wakichukua 2 percent ya GDP yao wanaweza kununua Maeneo yote muhimu hii Dar nzima. Wamatumbi mko tayari? Na ndo wanachofanya sasa hivi.

Ukoloni unarudi lakini mnapiga makofi in the name of MITAJI. Mna tofauti gani na kina Chief Mangungo wa Msovero?
Hivi katika nchi ambazo Wachina wamewekeza utathubutu kuitaja hata Tanzania?

Nenda Morocco, Nigeria, Ethiopia, Egypt, S.A, Angola ujionee Wachina walivyowekeza

Na wazawa wanapiga nao kazi bila wasiwasi win-win cooperation

Tatizo kuu la Watanzania ni kukosa exposure na hapa wa kulaumiwa ni huyo baba wenu wa taifa aliwafanya washamba mno
​
 
Unaamini kabisa Wachina wanacha shughuli zao for the sake of kuja kuwafundisha nyie jinsi ya kufanya biashara? Kwamba wana upendo sasa na nyie?

Daaah!
Ndio maana wamefungua kituo kikubwa cha biashara Ubungo

Na bado wafanyabiashara wa K/koo na mawinga wanapewa somo la biashara
​
 
madalali kazi mnayo sada hivi kadet og naipata kwa 14k ,nyie mnauza 40k. kiatu pure leather naipata kwa 50k nyie mnauza 150k mchina effects

karibu mchina mzaliane muwe wengi.
Nielekeze mkuu. Nataka kadet og kama tano hivi. Chimbo la Wachina liko wapi? Hawa wazawa wenzetu hawa wapigaji sana tena akikuona umekaa Kisukuma Sukuma kama mimi hivi utaambiwa kadeti moja laki mbili. Mchina ni mkombozi wetu.
 
Nenda Mawasiliano pale wanauza Kadeti 15k mpaka 18k. Na anayeuza ni mbongo. Na ana wateja wengi sana.

Shida ni kwamba mnachukua 1 percent ya wafanyiabiashara ambao wanauza vitu bei ghali mna-multiply kwa wote.

Na utuambie ni wapi huko ulishawahi kuambiwa kadeti laki mbili.
 
Ndio maana wamefungua kituo kikubwa cha biashara Ubungo

Na bado wafanyabiashara wa K/koo na mawinga wanapewa somo la biashara
​

Kama hadi ID yako ina jina la kichina basi sina la kukusaidia.

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom