Heshima yako mkuuUzuri zilikuwa ni mali za watu binafsi kwa hiyo kuwauzia Wachina wewe inakuuma nini.
Mchina kapanda dau mzawa kaona inalipa
Tafuta mali zako unazionea uchungu za wenzako mkuu
Uzuri zilikuwa ni mali za watu binafsi kwa hiyo kuwauzia Wachina wewe inakuuma nini.
Mchina kapanda dau mzawa kaona inalipa
Tafuta mali zako unazionea uchungu za wenzako mkuu
Pamoja mkuuHeshima yako mkuu
Mpaka uchaguzo uishe tutakuwa hoi bin taabaniWakuu.
Hivi mnaikumbuka ile Kebbys Hotel pale Bamaga, ambayo inaangaliana na Taasisi ya Elimu karibu na TBC?
Kwa wale wajanja wa hili jiji, hiyo Kebbys Hotel ilikuwa ni bonge moja la meeting point kipindi hicho.
Sijui nini kimetokea hapa katikati naona sasa hivi na yenyewe imebadilishwa jina inaitwa JIN KE (Whatever that means)
Soma pia: Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina
Mazingira yamebadilishwa, wameipamba kichina kichina tu. Wachina are buying real estate properties na potential areas zote huko Dar kwa spidi ya kasi sana.
Hapo tunapoongea Mikocheni wana ile Ilike Hotel (waliibadilisha jina), kuna ile Regency hotel pia waliibadilisha jina na pale Palm Village wana hotel na restaurants kubwa tu ZOTE ZA KICHINA.
Hapo sijagusia huko Masaki na Oysterbay. Maeneo karibu yote kwenye barabara ni Wachina tu.
Hii yote ni less than 5 years! Something is happening!
View attachment 3337905
View attachment 3337904
View attachment 3337909
Hivi unajua chanzo cha nyerere kung'atuka madarakan?Nyerere angeona hii comment yako angelia sana
Tukichukua hiyo point ya mitaji pekee na "kupanda bei" mbona WAKOLONI walikuwa na mitaji na teknolojia kuliko nyie wamatumbi na bado Nyerere aliwafukuza?
Nyerere angeona hii comment yako angelia sana
Tukichukua hiyo point ya mitaji pekee na "kupanda bei" mbona WAKOLONI walikuwa na mitaji na teknolojia kuliko nyie wamatumbi na bado Nyerere aliwafukuza?
Wao kuwa serious na kazi ni suala lao binafsi, but question here is, are they curse or blessing to local business man /woman?Hawa jamaa nawapenda kwa sababu wako serious na kazi, sisi swala tano bila kazi
Rudini kwenu China wawekezaji uchwaraUzuri zilikuwa ni mali za watu binafsi kwa hiyo kuwauzia Wachina wewe inakuuma nini.
Mchina kapanda dau mzawa kaona inalipa
Tafuta mali zako unazionea uchungu za wenzako mkuu?
wafanyabiashara wa tanzania wanatutesa sana na 200% profit, wacha wajifunze.Wao kuwa serious na kazi ni suala lao binafsi, but question here is, are they curse or blessing to local business man /woman?
Hamna mfanyabiashara wa tanzania anapata 200% profit ,hayupowafanyabiashara wa tanzania wanatutesa sana na 200% profit, wacha wajifunze.
madalali kazi mnayo sada hivi kadet og naipata kwa 14k ,nyie mnauza 40k. kiatu pure leather naipata kwa 50k nyie mnauza 150k mchina effects
karibu mchina mzaliane muwe wengi.
Rudini kwenu China wawekezaji uchwara