Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
waache washindane ndo nzuri, kila mahali popote kuwe ushindani ndo akili itukae sawa. Watanzania bado tunafanya vitu kienyeji sana.Hamna mfanyabiashara wa tanzania anapata 200% profit ,hayupo
Elewa alichoandika mwenzako, tupo kwenye free market economy.. sasa mswahili hajui biashara kajenga li hoteli kashindwa kuliendesha, mchina kaja mswahili kafika dau kauza mali yake, hapo kuna ubaya gani?Nyerere angeona hii comment yako angelia sana
Tukichukua hiyo point ya mitaji pekee na "kupanda bei" mbona WAKOLONI walikuwa na mitaji na teknolojia kuliko nyie wamatumbi na bado Nyerere aliwafukuza?
Nyerere si nchi ilimshinda? Halafu sasa hivi hatuko kipindi cha ukoloni
Wachina wamekuja wakati sahihi sana kuja kuwafundisha Watanzania maana ya uwekezaji na jinsi ya kufanya biashara
Chumba bei gani hapo Kebby's Hotel?Wakuu.
Hivi mnaikumbuka ile Kebbys Hotel pale Bamaga, ambayo inaangaliana na Taasisi ya Elimu karibu na TBC?
Kwa wale wajanja wa hili jiji, hiyo Kebbys Hotel ilikuwa ni bonge moja la meeting point kipindi hicho.
Sijui nini kimetokea hapa katikati naona sasa hivi na yenyewe imebadilishwa jina inaitwa JIN KE (Whatever that means)
Soma pia: Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina
Mazingira yamebadilishwa, wameipamba kichina kichina tu. Wachina are buying real estate properties na potential areas zote huko Dar kwa spidi ya kasi sana.
Hapo tunapoongea Mikocheni wana ile Ilike Hotel (waliibadilisha jina), kuna ile Regency hotel pia waliibadilisha jina na pale Palm Village wana hotel na restaurants kubwa tu ZOTE ZA KICHINA.
Hapo sijagusia huko Masaki na Oysterbay. Maeneo karibu yote kwenye barabara ni Wachina tu.
Hii yote ni less than 5 years! Something is happening!
View attachment 3337905
View attachment 3337904
View attachment 3337909
Wanunue tu hata ikulu ya magogoni na Dodoma, maana samia anachojua ni kurembua macho tuWakuu.

😂😂😂😂🤣Uzuri zilikuwa ni mali za watu binafsi kwa hiyo kuwauzia Wachina wewe inakuuma nini?
Mchina kapanda dau mzawa kaona inalipa
Tafuta mali zako unazionea uchungu za wenzako mkuu?
Binafsi ni mtu ambae nawachukia sana wachina na wawekezaji wote ambao wapo nchini lakini hawatufaidishi... Kama hao wachina wamepata kihalali na wanalipa kodi stahiki bila janja janja sioni tatizo at all... na ndio maana ya kukaribisha wawekezaji...Wakuu.
Hivi mnaikumbuka ile Kebbys Hotel pale Bamaga, ambayo inaangaliana na Taasisi ya Elimu karibu na TBC?
Kwa wale wajanja wa hili jiji, hiyo Kebbys Hotel ilikuwa ni bonge moja la meeting point kipindi hicho.
Sijui nini kimetokea hapa katikati naona sasa hivi na yenyewe imebadilishwa jina inaitwa JIN KE (Whatever that means)
Soma pia: Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina
Mazingira yamebadilishwa, wameipamba kichina kichina tu. Wachina are buying real estate properties na potential areas zote huko Dar kwa spidi ya kasi sana.
Hapo tunapoongea Mikocheni wana ile Ilike Hotel (waliibadilisha jina), kuna ile Regency hotel pia waliibadilisha jina na pale Palm Village wana hotel na restaurants kubwa tu ZOTE ZA KICHINA.
Hapo sijagusia huko Masaki na Oysterbay. Maeneo karibu yote kwenye barabara ni Wachina tu.
Hii yote ni less than 5 years! Something is happening!
View attachment 3337905
View attachment 3337904
View attachment 3337909
Hatuko kwenye ukoloni kwa sababu means of production including LAND na REAL ESTATE PROPERTIES mmeshika nyie Wamatumbi, at least in the most parts
Point nzima ya kufukuza wakoloni ukiachana na uhuru wa kisiasa, ni kuwapa wazawa ability ya kuwa na mitaji na kushika hizo means of production. That was the whole point.
China ni second biggest economy. Kama ishu ni mitaji, Wachina wakichukua 2 percent ya GDP yao wanaweza kununua Maeneo yote muhimu hii Dar nzima. Wamatumbi mko tayari? Na ndo wanachofanya sasa hivi.
Ukoloni unarudi lakini mnapiga makofi in the name of MITAJI. Mna tofauti gani na kina Chief Mangungo wa Msovero?
Mbunge viti maalum Kabula Shitobelo, mdogo (cousin) wa mama Janet Mwendazake na pia anahusishwa na kuwa mzazi mwenzie mwendazake.Mmiliki wa Kebby's alikuwa ni nani ?😏
Unaamini kabisa Wachina wanacha shughuli zao for the sake of kuja kuwafundisha nyie jinsi ya kufanya biashara? Kwamba wana upendo sasa na nyie?
Daaah!
Nielekeze mkuu. Nataka kadet og kama tano hivi. Chimbo la Wachina liko wapi? Hawa wazawa wenzetu hawa wapigaji sana tena akikuona umekaa Kisukuma Sukuma kama mimi hivi utaambiwa kadeti moja laki mbili. Mchina ni mkombozi wetu.madalali kazi mnayo sada hivi kadet og naipata kwa 14k ,nyie mnauza 40k. kiatu pure leather naipata kwa 50k nyie mnauza 150k mchina effects
karibu mchina mzaliane muwe wengi.
Nielekeze mkuu. Nataka kadet og kama tano hivi. Chimbo la Wachina liko wapi? Hawa wazawa wenzetu hawa wapigaji sana tena akikuona umekaa Kisukuma Sukuma kama mimi hivi utaambiwa kadeti moja laki mbili. Mchina ni mkombozi wetu.
Kama hadi ID yako ina jina la kichina basi sina la kukusaidia.
Kila la kheri