Picha: Baada ya Mikocheni sasa Wachina wanatua Mwenge. Kebbys Hotel pale Bamaga nayo imetwaliwa na Wachina!

Nyerere angeona hii comment yako angelia sana

Tukichukua hiyo point ya mitaji pekee na "kupanda bei" mbona WAKOLONI walikuwa na mitaji na teknolojia kuliko nyie wamatumbi na bado Nyerere aliwafukuza?
Nyerere ndio amewafanya mmekuwa mazezeta mpaka leo dhidi ya kakijikundi kadogo tu ka watawala.

Endeleeni kumtukuza mzimu wenu kila siku Nyerere,Nyerere,Nyerere mbaki na maujinga yenu hapo hapo
 
Uzuri zilikuwa ni mali za watu binafsi kwa hiyo kuwauzia Wachina wewe inakuuma nini?

Mchina kapanda dau mzawa kaona inalipa kamuuzia

Tafuta mali zako unazionea uchungu za wenzako mkuu?
​
Hayo ni maduka, magown na shemu za kulala za watu.

Na viwanda bubu humo humo.

Tunawapenda Wachima, ilakuleta wachina Machinga ni Usenge
 
madalali kazi mnayo sada hivi kadet og naipata kwa 14k ,nyie mnauza 40k. kiatu pure leather naipata kwa 50k nyie mnauza 150k mchina effects

karibu mchina mzaliane muwe wengi.
Hakuna leather ya 50k wala 150k leather ni kuanzia laki tatu kwenda juu, labda kama mnaongelea synthetic ndiyo wengi mnaita leather.
 
Watu waliokaa wakidhani mabadiliko hayatawakumba ndio hudhani kila hatua NI kukurupuka...maamuzi magumu hufanyika baada ya kukaa na kufikiri Uhuru wa kweli wa kudumu...
 
wasinunue ardhi tu, ila majengo hayana shida, yatajengwa mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…