Picha bandia za akili mnemba (AI) zilivyotumika kuwadanganya waarabu mpaka wakaanza kuandamana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] malizia basi na aya inayofata.

45:17 - Na tukawapa maelezo wazi ya amri. Basi hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa ajili ya uhasidi uliyo kuwa baina yao. Hakika Mola wako Mlezi atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika mambo waliyo kuwa wakikhitalifiana.


Hawa kina Yuda Eskarioti walilaaniwa mpaka na Yesu pamoja na Daudi kutokana na kuasi kwao na kupenda kufanya mauaji ya watu wasio na hatia.

5:78 - Walilaaniwa walio kufuru miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kasaidiwa ? na waarabu hawajui ila ww ndo unajua?
 
AI inaharibu sana kizazi chetu kwa namna nyingi hata kufikiri tunashindwa sikuhizi..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kasaidiwa ? na waarabu hawajui ila ww ndo unajua?
Wewe choko,Dunia nzima inajua kua Zionist wamesaidiwa,aliyekwambia kua waarabu hawajui ni nani? Mpaka sasa hivi US wapo Israel na ndio wanaratibu kila kitu,mwanzo kabisa Israel kaomba $10 B na ndio nchi inayoongoza kwa kupokea misaada toka US,

Acha kuishi chini ya makalio,tafuta taarifa kiazi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…