Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwaka huu utakuwa mtaalamu wa kila kituMimi mtaaalam wa AI . Napinga ulichopost
umeelewa anaelezea nini?Kwahiyo hizo picha hapo juu ndo zilisababisha vita mkuu?
isis , alshabab, houth , hamas , taliban , alqaida etc nan mdini ?Udini unakusumbua huna lolote..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kasaidiwa ? na waarabu hawajui ila ww ndo unajua?Wewe mpuuzi yahudi mweusi, wayahudi wenzako wamechezea kichapo cha maana tena kwa kusaidiwa na mataifa matano makubwa, Hamas anadeal na wajeda, wao wanaishia kuua wanawake na watoto na kuvunja majengo, ubongo wako ni mdogo sana na unaendeshwa na mihemko ya kijinga, hapa JF wewe ni kituko sema hujajishtukia tu,
wakiambiwa wateule unawachukia ? jiulize ww mpk ss nchi yenu mnabinafsisha kila kitu ,muitwe wateule kwa lipi?Mimi niliwachukia waisraeli siku mingi walivyoambiwa ni wateule na sisi je??
Wewe choko,Dunia nzima inajua kua Zionist wamesaidiwa,aliyekwambia kua waarabu hawajui ni nani? Mpaka sasa hivi US wapo Israel na ndio wanaratibu kila kitu,mwanzo kabisa Israel kaomba $10 B na ndio nchi inayoongoza kwa kupokea misaada toka US,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kasaidiwa ? na waarabu hawajui ila ww ndo unajua?
Wewe si mtaalamu wa uchoko,kaa na uchoko wako.mwaka huu utakuwa mtaalamu wa kila kitu