Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Kumbe ndio maana Zitto alikuwa anampigia debe Membe, hata kama hajajiunga rasmi, lakini hizi ni dalili atajiunga.

Endapo patakuwa na muungano kati ya Chadema na ACT, ni vyema umakini wa hali ya juu uwepo kwenye kumsimamisha mgombea Urais, hasa upande wa Tanzania Bara.

Yaliyotokea 2015 yanatosha, hakuna haja ya kudanganyika tena na wahamiaji, ni wakati sasa wa upinzani kumsimamisha mgombea wao, watu wenye sifa wapo.
 
Leo tarehe 12 July Membe ameonekana akiwa na baadhi ya viongozi wa ACT hii inaonyesha sasa ni rasmi Membe
atagombea kupitia chama hicho tusubiri taarifa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…