Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Jamaa jasiri miaka mitatono yupo nje ya utawala wa magufuli na mikwara yote ,mitego,hila na wenzake wote wamesalenda na bado anamatumaini na kaamua afe kiume hongera na mungu akupe umri mrefu na mwisho mwema nikukubali sana na waliokuita ,msomi,Jasusi,kachero mbobezi,na Jina jipya Putini wa Tanzania umeyatendea haki hayo majina
 
Wahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.

Lissu anarudi lini nchini?
 
Chadema wawe makini sana na muungano wa aina yoyote utakaomleta Membe kama mgombea Urais, watu wenye sifa wapo upinzani, huu ni wakati wao kupewa nafasi.

Wapiga kura upinzani wanao, hao wageni hawatasaidia chochote zaidi ya kujiweka mbele tu wapewe nafasi, 2015 ilikuwa fundisho zuri sana toka kwa Lowassa.
 
Cdm tayari tunaye mgombea tayari
 
Back
Top Bottom