Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Naona kub wa 2021 anatoka ACT.Chadema watatoa kub kwenye mitandao.
 
Hapa kinachotakiwa na kinacho ombwa na kila mpenda haki na usawa kwenye nchi yetu ni kuiondoa ccm madarakani,

Hiyo ikishindikana basi ni kuipunguzia ccm vitendea kazi kwa maana wapinzani kushinda viti vingi vya ubunge na udiwani.
Zitto akicheza karata vizuri ndiye KUB ajaye, nami namtakia kila jema kwa hilo. Kwa zanzibar sioni wa kuwazuia ACT mwaka huu kuongoza serikali.
 
Hv nyie mnaongea kwa kujifurahisha au, hv unaijua nguvu ya chadema bara ?? yaani chadema iwapigie magoti Act wazalendo??
Anaweza kuwa mtu mmoja huyo, anaanzisha story na kujijibu mwenyewe.
 
Hakuna anaye mbeza Zitto, hapa kila mtu anafurahia namna gani vyama vya upinzani vitakavyo ichachafya ccm
Kwa hiyo mnataka Zito aache kufuata ndoto zake za kisiasa sababu ya kuogopa kupunguza kura za CDM? Kwa nini CDM wasionekane nao wanapunguza kura za ACT? By the way Zito si mlimfukuza na kummwagia matusi juu? Mwacheni ajenge chama chake, nanyi komaeni na chama chenu
 
BM ni bora ailinde, Heshima yake kwa Taifa kuliko anakoelekea kisiasa maana kushinda hawezi kushinda, Ila Act watapata nguvu katika uchaguzi kutokana na haiba ya Kiongozi huyu mahiri katika diplomasia.
 
Ikisha kuwa hivyo ndiyo Pompeo atamtolea ban Makonda ya kutokuingia USA?
Inaweza kuwa raisi wake na mke wake,
Kwa tanzania ya leo hakuna mtu atamchagua rafiki wa mashoga,
Hapo membe atawaongezea zito wabunge.
Na chadema kutoka kambi ya upinzani bungeni,
Na wao kubembeleza nafasi vivuli za uwaziri kwa chma kingine.
 
Back
Top Bottom