Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Kwa mjinga anadhani ccm ipo salama kwenye hili
Jiulize kwanza kura 8m za Magufuli 2015 sl(Siyo ccm} zilitokana na nani na ziko wapi ? Wagawe watawale sasa itahamia ccm ; wanaomkubali Membe wako ccm nadhani watampa; na wapinzani wale wanaliompigia kura Magufuli kwa hasira ya Lowasaa kumkosa Dr slaa na Lipumba watampa; Kwa hiyo Mchuano utakuwa mkali ; kati ya Ccm na Ccm
.
 
Afadhali umewahi kumfikishia salaam
Chadema inaenda kuchukua DOLA mapema tu mwezi Oct, Usichojua ni kwamba wenye Uamuzi wa mwisho ni raia watakaokwenda kuunga foleni katika sanduku la kura siku hizo.
 
FB_IMG_1594564150942.jpg
FB_IMG_1594564155261.jpg
 
Kazi kwelikweli yaani watu ni kama hawaelewi hivi ila mwisho wa siku mchezo ni uleule
 
Jiulize kwanza kura 8m za Magufuli 2015 sl(Siyo ccm} zilitokana na nani na ziko wapi ? Wagawe watawale sasa itahamia ccm ; wanaomkubali Membe wako ccm nadhani watampa; na wapinzani wale wanaliompigia kura Magufuli kwa hasira ya Lowasaa kumkosa Dr slaa na Lipumba watampa; Kwa hiyo Mchuano utakuwa mkali ; kati ya Ccm na Ccm ; !! Kwa hiyo Ushindi na Katiba mpya ya wananchi inaweza kutokea Upande wa pili hata asiposhinda yeye.
.
 
Hata kuuwezesha upinzani kupata wabunge pia ni ushindi
Kinachoweza kuwasaidia ACT probably ni kupata wabunge angalau wanne huko kusini. Membe hana impact yoyote kama baadhi ya watu wanavyofikiria.

By 2024, atakuwa ameshafuata nyayo za Lowassa na Sumaye. History ni mwalimu mzuri sana
 
Chadema tusitishike na haya, Chadema inafahamika kwa watanzania, Tundu Lissu anafahamika kwa wapiga kura. Membe hafahamiki Sana. Hana ushawishi ukilinganisha na wa Lissu. Twende na Tundu Lissu.
Mmeanza kupaniki
 
Kwa mujibu wa maoni ya watanzania hapa nchini ni kuwa wanamkubali sana Lissu kuwa ndiye kiongozi wao wa awamu ya sita
Chadema tusitishike na haya, Chadema inafahamika kwa watanzania, Tundu Lissu anafahamika kwa wapiga kura. Membe hafahamiki Sana. Hana ushawishi ukilinganisha na wa Lissu. Twende na Tundu Lissu.
Screenshot_20200608-210107.jpeg
 
Back
Top Bottom