Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Hamna kitu kama hicho, Kura ni siri unawezaje kusema mnahesabika? jibu lake utalipata mapema tu ...Muda utatoa majibuSasa raia wenyewe wa kuipa nchi cdm mbona mnahesabika kwa macho tu!?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu kama hicho, Kura ni siri unawezaje kusema mnahesabika? jibu lake utalipata mapema tu ...Muda utatoa majibuSasa raia wenyewe wa kuipa nchi cdm mbona mnahesabika kwa macho tu!?.
Usitegemee huyo jamaa kusimamishwa kuwa mgombea kama wataungana, chadema hawawezi rudia kosaKumbe ndio maana Zitto alikuwa anampigia debe Membe, hata kama hajajiunga rasmi, lakini hizi ni dalili atajiunga.
Endapo patakuwa na muungano kati ya Chadema na ACT, ni vyema umakini wa hali ya juu uwepo kwenye kumsimamisha mgombea Urais, hasa upande wa Tanzania Bara.
Yaliyotokea 2015 yanatosha, hakuna haja ya kudanganyika tena na wahamiaji, ni wakati sasa wa upinzani kumsimamisha mgombea wao, watu wenye sifa wapo.
Magufuli kaiweka ccm mfukoniKiki imebuma
Wee jamaa usipoitaja chadema unapata tumbo la kuharishaZitto is very smart. Bila Chadema kufanya kazi na Zitto hawaponi kabisa! Lazima wakubali kurudi chini wawaunge mkono ACT walau kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo maalum.
Hamna kitu kama hicho, Kura ni siri unawezaje kusema mnahesabika? jibu lake utalipata mapema tu ...Muda utatoa majibu
Hapana kama mtu anaficha msimamo wake huyo ni dhaifu wa maamuzi,mguu nje mguu ndani(double standard)Hamna kitu kama hicho, Kura ni siri unawezaje kusema mnahesabika? jibu lake utalipata mapema tu ...Muda utatoa majibu
Kivipi?Nondo ninacho kijua anakumiliki wewe na ushahidi upo
Sasa kama unaongea kwa uficho na mafumbo wewe hujiamini.Ungekuwa unajua nini nimemaanisha usinge andika huu utumbo wako
Yale Yale! Hivi upinzani hamjifunzi tu? Miaka yote hiyo hamjapata president material? Ila sishangai Membe ndo aliasisi ACT! Upinzani kuchukua nchi bado sana!Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo.
Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT. View attachment 1504642