kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Wkt siye tunakwenda kuchukua nchi wao wanawazia kuwa chama kikuu cha upinzaniWacha wajifurahishe maana hao ni maccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wkt siye tunakwenda kuchukua nchi wao wanawazia kuwa chama kikuu cha upinzaniWacha wajifurahishe maana hao ni maccm
Hakuna cha kuilinda kama mbwai mbwai ,wao kama wamemwaga mboga MEMBE JASUSI anamwaga UGALI.BM ni bora ailinde, Heshima yake kwa Taifa kuliko anakoelekea kisiasa maana kushinda hawezi kushinda, Ila Act watapata nguvu katika uchaguzi kutokana na haiba ya Kiongozi huyu mahiri katika diplomasia.
Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo.
Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT. View attachment 1504642
Hawa wazee miyeyusho sana ..utawasikia vijana mjiajiri while wao watafta ajira kuptia watanzania..Membe anajipotezea credity.Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo.
Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT. View attachment 1504642
Propaganda hizo subiri mpigwe za USO October,hata Lowassa mlisema alitumwa wakati ni wazi Lowassa aliwanyoosha kweli kweli 2015 hata ANKOLI mwenyekiti wako anajua sio wewe mfuta vumbi makabati ya lumumba.Membe ametumwa kaufanya kazi na imekubarika
Hapa kinachotakiwa na kinacho ombwa na kila mpenda haki na usawa kwenye nchi yetu ni kuiondoa ccm madarakani,
Hiyo ikishindikana basi ni kuipunguzia ccm vitendea kazi kwa maana wapinzani kushinda viti vingi vya ubunge na udiwani.
Kuna wenzako hapo juu wameanza kumtukana, ila najua misimamo yako kuhusu Zito, upo +ve naye sanaHakuna anaye mbeza Zitto, hapa kila mtu anafurahia namna gani vyama vya upinzani vitakavyo ichachafya ccm
wazungu wanawazuga tu nyinyi sema hamfungui vichwa vyenu.wanaacha kumpa ban waziri wa mambo ya nje wanampa ban makonda.sasa makonda anahudumia nini tanzania kutokea huko U.S?Kwa maana yako cdm akikosa KUB ndiyo itakuwa mwanzo wa Pompeo kumuondolea Bashite ban ya kutoingia USA?
Naona kub wa 2021 anatoka ACT.Chadema watatoa kub kwenye mitandao.
Sasa raia wenyewe wa kuipa nchi cdm mbona mnahesabika kwa macho tu!?.Chadema inaenda kuchukua DOLA mapema tu mwezi Oct, Usichojua ni kwamba wenye Uamuzi wa mwisho ni raia watakaokwenda kuunga foleni katika sanduku la kura siku hizo.