Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Ila tokea Zito aanzishe ACT nilishakosa mvuto naye kabisa. ACT ilianzishwa kupunguza kura za UKAWA 2015, na sasa inaenda kupunguza kura za CHADEMA 2020.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa jasiri miaka mitatono yupo nje ya utawala wa magufuli na mikwara yote ,mitego,hila na wenzake wote wamesalenda na bado anamatumaini na kaamua afe kiume hongera na mungu akupe umri mrefu na mwisho mwema nikukubali sana na waliokuita ,msomi,Jasusi,kachero mbobezi,na Jina jipya Putini wa Tanzania umeyatendea haki hayo majina
Uzi unamuhusu Membe wewe unamuongelea Lisu. Acha kupiga ramli 28July sio mbali.niliweka uzi humu moderators wakaufuta niliandika wagombea uraisi wa CCM na upinzani watajukana wikiendi hii watu watege maskio Dodoma na DA RE SALAAM Ambako upinzani watamtambulisha wao kiana.Moderatrs wakautupilia mbali
Haya MEMBE huyo hapo anatambulishwa kiana
Lisu kwa sasa nafasi yake ACT wazalendo imeshazibwa tayari apambane tu na hali yake huko CHADEMA wakimbwaga ndio kwa heri ya kuonana.Sababu yeye alikuwa akivizia wakimpiga chini Chadema aende ACT wazalendo.Sasa hiyo option haipo tena na uwezekano wa yeye kupitishwa na CHADEMA mdogo mno!!! Naliona anguko rasmi la kisiasa la Tundu Lisu
Zitto is very smart. Bila Chadema kufanya kazi na Zitto hawaponi kabisa! Lazima wakubali kurudi chini wawaunge mkono ACT walau kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo maalum.
Kwa hiyo mnataka Zito aache kufuata ndoto zake za kisiasa sababu ya kuogopa kupunguza kura za CDM? Kwa nini CDM wasionekane nao wanapunguza kura za ACT? By the way Zito si mlimfukuza na kummwagia matusi juu? Mwacheni ajenge chama chake, nanyi komaeni na chama chenuIla tokea Zito aanzishe ACT nilishakosa mvuto naye kabisa. ACT ilianzishwa kupunguza kura za UKAWA 2015, na sasa inaenda kupunguza kura za CHADEMA 2020.
Kwani Chadema ni nani Hadi wasipunguzwe kura. Sema Chadema mnajiona nyinyi ndio mnastahili kuwa Chama kikuu Cha Upinzani.Ila tokea Zito aanzishe ACT nilishakosa mvuto naye kabisa. ACT ilianzishwa kupunguza kura za UKAWA 2015, na sasa inaenda kupunguza kura za CHADEMA 2020.
Hv nyie mnaongea kwa kujifurahisha au, hv unaijua nguvu ya chadema bara ?? yaani chadema iwapigie magoti Act wazalendo??Zitto akicheza karata vizuri ndiye KUB ajaye, nami namtakia kila jema kwa hilo. Kwa zanzibar sioni wa kuwazuia ACT mwaka huu kuongoza serikali.
Lissu ndiye rais wako wa awamu ya sita.