Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Safi sana!

Jiwe must be confronted by all means necessary.

Si busara kumwachia Fisi bucha

Kutokumchallenge jiwe kwenye uchaguzi ni mistake ya kisiasa ya karne!
Yes, jiwe atakuwa challenged but na mgombea alietokea upinzani, no more wageni, wapinzani lazima wajione wanastahili na watuoneshe wapiga kura wao wanastahili hiyo nafasi.

Halafu kesho kutwa aombe msamaha arudi CCM, huu sio wakati wa majaribio, ni vitendo tu.
 
niliweka uzi humu moderators wakaufuta niliandika wagombea uraisi wa CCM na upinzani watajukana wikiendi hii watu watege maskio Dodoma na DA RE SALAAM Ambako upinzani watamtambulisha wao kiana.Moderatrs wakautupilia mbali

Haya MEMBE huyo hapo anatambulishwa kiana

Lisu kwa sasa nafasi yake ACT wazalendo imeshazibwa tayari apambane tu na hali yake huko CHADEMA wakimbwaga ndio kwa heri ya kuonana.Sababu yeye alikuwa akivizia wakimpiga chini Chadema aende ACT wazalendo.Sasa hiyo option haipo tena na uwezekano wa yeye kupitishwa na CHADEMA mdogo mno!!! Naliona anguko rasmi la kisiasa la Tundu Lisu
 
Zitto is very smart. Bila Chadema kufanya kazi na Zitto hawaponi kabisa! Lazima wakubali kurudi chini wawaunge mkono ACT walau kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo maalum.
Huu ni mtazamo wako tu, kama jina lako lilivyo.

Yaani Chadema Tanzania Bara wawapigie magoti ACT?!

Chadema wana wapigakura, halafu wawaombe ACT kitu gani?! kuachiwa jimbo ndio nini!.

Go back to the drawing board, and stop this nonsense please.
 
Back
Top Bottom