Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siri kivipi?Unadhani unafanya siri?
ACT wazalendo imejipanga kuliko chadema sababu bara na visiwani wapo
Chadema Zanzibar haipo ipo tu inachechemea bara tu
Safi JASUSI Njoo uje Kumpiga za USO DIKTETA UCHWARA.
Chadema ACT WAZALENDO wameshapiga bao na waweza kuwa chama kikuu cha upinzani sababu kotekote kipo kina watu bara na visiwaniChadema tusitishike na haya, Chadema inafahamika kwa watanzania, Tundu Lissu anafahamika kwa wapiga kura. Membe hafahamiki Sana. Hana ushawishi ukilinganisha na wa Lissu. Twende na Tundu Lissu.
Wapiga kura wa Zanzibar hawafiki hata idadi ya wapiga kura wa ubungo. Kwa bara cdm iko mahali yake. Tume huru tu ya uchaguzi itanyoosha kila kitu. Cdm inaamini katika serikali tatu, na sio mbili hizi za kiccm, hivyo ikishika madaraka kutakuwa na muungano kwa serikali tatu.
Very simple:Siasa za bongo ngumu sana kuzielewa
nipo huru kuamua nipate wapi habari.sijashikiwa akili na Lissu kama wewe.Tatizo wewe chanzo chako cha habari ni tbc na uhuru media
Safi tuone CCM wanafanya nini sijui wataifuta ACT?
Chadema ACT WAZALENDO wameshapiga bao na waweza kuwa chama kikuu cha upinzani sababu kotekote kipo kina watu bara na visiwani
Mwenye pesa za kampeni Membe kaenda ACT WAZALENDO nyie chadema Lisu lofa hela ya kampeni hana tumaini pekee liliobaki chadema ni kumteua mbowe au nyalandu hao ndio wana uwezo wa kipesa kuzunguka nchi nzima.LISU UWEZO WA MIZUNGUKO YAKE NI HUMU JAMII FORUMS ,INSTGRAM NA TWITTER ambako hujiunga kifurushi cha mia tano
Lini itakuwa hiyo! Believe me kabla ya 2025 Member atarudi nyumbani CCM. Kama mna nia ya dhati makapi ya ccm ya nini?Siku ccm mkitimuliwa madarakani ndiyo siku utauheshimu upinzani
CCM ndo imepata nafasi zaidi ya kupasua.Safi tuone CCM wanafanya nini sijui wataifuta ACT?
Unaandika kama mtu alietoka chooni bila kunawa mikono.Chadema ACT WAZALENDO wameshapiga bao na waweza kuwa chama kikuu cha upinzani sababu kotekote kipo kina watu bara na visiwani
Mwenye pesa za kampeni Membe kaenda ACT WAZALENDO nyie chadema Lisu lofa hela ya kampeni hana tumaini pekee liliobaki chadema ni kumteua Mbowe au Nyalandu hao ndio wana uwezo wa kipesa kuzunguka nchi nzima.LISU UWEZO WA MIZUNGUKO YAKE NI HUMU JAMII FORUMS ,INSTGRAM NA TWITTER na facebook ambako hujiunga kifurushi cha mia tano
Kama taarifa hii ni ya kweli, natambua hitakuwa ni nzuri kwa upande wa Team - CCM. Lakini kimkakati vyama vya CDM na ACT Wazalendo itavipasa kukubaliana kubakiza mpeperusha bendera wa mmoja kwa nafasi ya uraisi ili kukibana vyema chama tawala kwa upande wa Tanzania Bara na Visiwani.Aliyekuwa Mwanachama wa CCM Bernard Membe amejiunga rasmi na Chama Cha ACT Wazalendo.
View attachment 1504645
Zitto is very smart. Bila Chadema kufanya kazi na Zitto hawaponi kabisa! Lazima wakubali kurudi chini wawaunge mkono ACT walau kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo maalum.