Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Jamii forum tutawakimbia sio muda haiwezekani mtu unaanzisha uzi mapema halafu mnaunganishwa kwani kuna ubaya gani kuwa na source mbalimbali za information ina maana hata TV ingekuwa TBC tu endeleeni na hayo mambo yenu ipo siku atatokea mshindani wenu na tutawakimbia,shame on you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2010 Slaa alikuwa na hela gani? Lissu hahitaji kuzunguka nchi nzima kama issue ni kuzunguka nchi nzima. Hoja za Lissu zinaweza kuzunguka nchi nzima, bila hata yeye kuzungusha sura yake. Ingekuwa kuzunguka nchi nzima kunaleta mvuto, basi mwenge wa uhuru ungepata mvuto maana unazunguka nchi nzima. Lissu ndio sahihi against Magufuli, na ukweli huu tunaujua na hatutoki kwenye hilo.
Hilo lipo wazi na hata mwenyekiti wao analijua kuwa mpinzani wake wa kweli kisiasa ni mh Lissu.

Hizo habari za Membe awe ni state agent wao au vinginevyo sisi wana cdm tupo na Lissu wetu
 
Hata msipo shinda mtatangazwa washindi tuuhh...

Wacha nimfute machozi Membe.

Tunaomba tu hiyo kura yako, kuna kitu labda tumekuudhi, ila sisi CCM ni binadamu pia, just tusamehe, tuko chini ya miguu yako, mpe kura yako hiyo moja mh. JPM, ina maana sanaaaa kuliko ujuavyo, fumba macho mpe Mh. JPM, fikiri upya tunakuomba, tuwie radhi ikiwa tumekukosea, mpee bana JPM
 
Chadema tusitishike na haya, Chadema inafahamika kwa watanzania, Tundu Lissu anafahamika kwa wapiga kura. Membe hafahamiki Sana. Hana ushawishi ukilinganisha na wa Lissu. Twende na Tundu Lissu.
Wakati TUNDU Lisu anapiga mayowe mitandaoni cheki Nyalandu
1594566393312.png
 
Attachments

  • 1594565900531.png
    1594565900531.png
    75 KB · Views: 1
Hapa chadema inapiga mahesabu, hawawezi kujiunga na Act, Halafu walazimishe mgombea wao BM agombee, halafu utokee mtafaruku wakati uchaguzi unakaribia, Kumbuka Act hawana cha kupoteza kwa sababu chama bado ni kichanga hawana wanachama huku mashinani, Chadema tayari inafahamika ina wanachamahapa wenye Nguvu ya Ushawishi ni Chadema hawa wengine wakae kwanza wasikikize mziki wa Lissu
kweli mkuu ila kwa nini lissu asiungane na membe ili act watoe mgombea uraisi

eeeh yaan chadema wawasapoti ACT Nafasi ya uraisi kuepuka kugawa kura
 
Hilo lipo wazi na hata mwenyekiti wao analijua kuwa mpinzani wake wa kweli kisiasa ni mh Lissu.

Hizo habari za Membe awe ni state agent wao au vinginevyo sisi wana cdm tupo na Lissu wetu

Yaani katika vitu cdm hawapaswi kubug ni kwenye hili. Funzo la 2015 linatosha. Na ccm wanajua fika hatari yao ni kwa Lissu, na sio mwingine awaye yote. Hao ACT wamsimamishe Membe naye apambane na Magufuli kivyake, lakini cdm tusipoteze focus maana uwezo na wapiga kura wa ukweli tunao.
 
Upo sahihi sana mkuu yaani Membe na ACT watalazimika kusafiria nyota ya cdm
Hapa chadema inapiga mahesabu, hawawezi kujiunga na Act, Halafu walazimishe mgombea wao BM agombee, halafu utokee mtafaruku wakati uchaguzi unakaribia, Kumbuka Act hawana cha kupoteza kwa sababu chama bado ni kichanga hawana wanachama huku mashinani, Chadema tayari inafahamika ina wanachamahapa wenye Nguvu ya Ushawishi ni Chadema hawa wengine wakae kwanza wasikikize mziki wa Lissu
 
Zitto ana akili sana. ACT inakwenda kuwa chama kikubwa Tanzania. Na anajua muda wake wa kugombea Urais bado. Umri unamruhusu kusubiri. Anaimarisha chama ili muda wake wa kugombea ukifika awe cha chama chenye nguvu. Ana malengo ya muda mfupi, wa kati na mrefu. Inaitwa stratejia hiyo.
Wahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.
 
Jamii forum tutawakimbia sio muda haiwezekani mtu unaanzisha uzi mapema halafu mnaunganishwa kwani kuna ubaya gani kuwa na source mbalimbali za information ina maana hata TV ingekuwa TBC tu endeleeni na hayo mambo yenu ipo siku atatokea mshindani wenu na tutawakimbia,shame on you!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, utazoea tu
 
Hili naamini cdm wanalijua sana, hakuna haja ya kurudia makosa yaliyo pita
Yaani katika vitu cdm hawapaswi kubug ni kwenye hili. Funzo la 2015 linatosha. Na ccm wanajua fika hatari yao ni kwa Lissu, na sio mwingine awaye yote. Hao ACT wamsimamishe Membe naye apambane na Magufuli kivyake, lakini cdm tusipoteze focus maana uwezo na wapiga kura wa ukweli tunao.
 
Wa kupumzika wao tu, sisi hapana. Jiwe, Mangula, Mkuchika, Kabudi, Lipumba, Cheyo, Mrema... hawa hawahitaji kupumzika, siyo? Nimesikia Jiwe analalamika kuhusu kutoa shikamoo. Hivi kwa Mangula pale na Kabudi, Cheyo, Mrema... anafanyeje? Mbona Mahiga alipumzishwa na kifo tu?
Wote wangepumzika watakujafia majukwaani
 
Zitto huwa hana adabu akisimama na watu wazima ona hiyo mikono alivyoiweka

View attachment 1504665

Hana nidhamu ya kinafiki, huwa namuona Polepole akisimama na Magufuli anajifanya mtiifu. Lakini ukifuatilia vizuri unyenyekevu wake ni kwakuwa Magufuli anampa mlo. Zito anaogopa nini, maana kama ni nidhamu anayo ya dhati.
 
Wa kupumzika wao tu, sisi hapana. Jiwe, Mangula, Mkuchika, Kabudi, Lipumba, Cheyo,... hawa hawahitaji kupumzika, siyo? Nimesikia Jiwe analalamika kuhusu kutoa shikamoo. Hivi kwa Mangula pale na Kabudi anafanyeje? Mbona Mahiga alipumzishwa na kifo tu?

Bora umempa ukweli wake.
 
Back
Top Bottom